Maandishi yanasadifu yaliyomo😅Wewe ni KE??
Kwan we wamjua muandishi?!!!Ukisoma bila kujua muandishi unaweza kudhan huyu aloandika ni mwanamke
Kabisaaa hujakosea, sijawahi kukutana na mwanaume ambaye soda haina gesi km wewe..!!Am sure hujawahi kukutana na mwanaume finest kama mimi.
Mweupe mwingine wewe apo😀😀😀😀😀sawa
Sijakataa kuwa wewe ni mwanaume kama unavyodai , ila kwa mada zako unaonekana ni dudu kombwa mavi bwasheeWe jamaa unapenda sana hizi mambo, pole sana ila mimi ni mwanaume
Sis weusi vipi bila hela?Mwanaume mweupe ajitahid kumiliki hela.bila hvyo aise ni shida ...ni kama demu aliye period na ashindwe kujisitiri.(Kichefuchefu/
Nyie hata wenye fani za kulea viben 5 sawa tu wawalee..mnalipa😋Sis weusi vipi bila hela?
Hiv watu wanawezaje kulelewa? Mbona kama ni kitu naona like hayo maisha hayawezekani kila niki imagine! Wanakua wanaishije hao vijana? 😂😂Nyie hata wenye fani za kulea viben 5 sawa tu wawalee..mnalipa😋
Kucha zako zikoje madamKuna watu wanadhani ukiwa mweupe ndio unakua mzuri na wengine wanakwambia “ weupe umekubeba”, ila kiuhalisia kuwa na muonekano mzuri ni combination ya vitu vingi.
Kwa mfano mimi mbali na kua mweupe, kuna watu wanapenda ninavyo smile,
Kuna wanapenda kucha zangu,
Kuna wanapenda macho na midomo,
Na wengine wako tu general kua wananipenda kua kwa muonekano wangu ki ujumla.
Hivyo ukiwa mweupe usijione ni mzuri, uwe na sifa zinazoeleweka
Tuwaulize aisee ...inatia kichefuchfeHiv watu wanawezaje kulelewa? Mbona kama ni kitu naona like hayo maisha hayawezekani kila niki imagine! Wanakua wanaishije hao vijana? 😂😂
Wapi huko waliopo hapa mtaani wamechoka balaa na wengine single mother kila mtoto na baba yakeMwanamke mweupe mjini ana uhakika wa maisha kuliko mwanamke MSOMI maadamu tu azuge zuge tu ana maadili fasta anatoboa asiwe tu na akili kama za miss tanzania mstaafu
Kweli watu tunatofautiana sana. Maana yake hapo unakua una report kwa mshangazi kila unachofanya unafuatiliwa? Hayo maisha au jela?Tuwaulize aisee ...inatia kichefuchfe
Aah! anajinasibu kua ni mwanaume handsome mara nyingi ingawa anautata.Kwan we wamjua muandishi?!!!
Kifupi unakua kama sex doll au slave.Kweli watu tunatofautiana sana. Maana yake hapo unakua una report kwa mshangazi kila unachofanya unafuatiliwa? Hayo maisha au jela?