Kuwa mtu wa malalamiko sana ni dalili ya kukata tamaa

mi naamini matajiri na watu wenye pesa tunaowajua ndio huwa wanalalamika hali ngumu kuliko sisi kina chomoa njambe!!sasa sjui ndo huwa wanatukatisha tamaa zaidi ili tubak maakin au vipi???!!
 
wengine tunalalamika kwa sababu
1.Kuepuka kuonekana tunajikweza.

2.Njia kumfanya mtu akupe mchongo au connection.

3.Ku overtake waomba hela.

#26_plain
 
kuna watu na viatu.just ignore them
"Yani nachukia nachukia sana, yani nachukia huu mtindo huku JF kila comment kuna mtu anakataa wazo la mtoa uzi, kwanini na nyie msifungue za kwenu ayo ma comment yenu yawe uzi!!?

Hata tunashindwa kupata mtiririko ni mtu tu kapinga uzi.

Yaani tuchoshwe na serikali bado na nyie mtuchoshe huku JF mimi nachukia sana na mod na wapo tu wanaangalia sijui hawaoni tunavyokwazika "

HAYA MFANO WA MALALAMIKO HUO HAPO JUU
a
 
Back
Top Bottom