Kuwa mkweli una laini ngapi za simu?

Kuwa mkweli una laini ngapi za simu?

Poor Brain anazo 3, moja ya ndgu jamaa na marafiki, nyingine ya biashara na vidogoli ambavyo ni viteja vyake library kwake, na ya tatu ni spesheli kwa ajili ya mishangazi.
 
Ila we umetisha laini kumi na tatu 😅, za nini zote hzo
😃 nna mbili tu mwaya
Zingine hata mtoto wa mama mkwe hazijui 😁😁 lkn zipo na zinatumika daily kwenye mitikasi
IMG_9326.png
 
Back
Top Bottom