Kuwa mkweli una laini ngapi za simu?

Kuwa mkweli una laini ngapi za simu?

Kwa haraka nina jumla ya Laini 19 hivi🤔, yah! Laini 19 mitandao yote kiujumla.
voda 5, tigo, 3, halotel 4, airtel 6, Ttcl 1.
Serikali haina ajira, tunajiajiri wenyewe.
👉Note: Laini zote hizi ziko active, na zinatumika kwa mawasiliano halali kabisa, kwa anayehangaika kunipata tatizo ni lake sio langu, apige kwa laini nyingine nitapatikana.

Nalog off
 
Back
Top Bottom