Kuwa mkweli, mara yako ya mwisho kwenda nyumba ya ibada ilikuwa lini

Ndio wale tunaacha kwenda ibadani tuna KWA KUANGALIA vipindi vya ibada kwenye maredio na TV haki mbingun tutatengwa hivyo hivyo
 
Maendeleo ya Teknolojia yanakuja na mabadiliko makubwa sana
 
Niliacha kwenda baada ya kulazimishwa kufungua nakufunga kwa maombi kila ninapohudhuria vipindi....wakati Mimi huo upako sina

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Wewe una tatizo mahali .... tena unahitaji msaada ...ilitakiwa kwanza ujue sababu za kufunga , faida ya kufunga , kwakifupi kama ulifunga mkuu ulishinda njaa
 
Mara ya mwisho kwenda kanisani inakaribia miaka 26 sasa na hii imetokana na kujitambua kwangu. Nimerudi katika imani yangu ya ukweli ya Uafrika, naamini Mungu tu na mizimu yangu. Siamini mwarab wala mzungu.
 
Mara ya mwisho kwenda kanisani inakaribia miaka 26 sasa na hii imetokana na kujitambua kwangu. Nimerudi katika imani yangu ya ukweli ya Uafrika, naamini Mungu tu na mizimu yangu. Siamini mwarab wala mzungu.
Lakini wote tumemjua MUNGU kupitia maandiko na hata kujitambua kwako kumetokana na kufundishwa
 
Niliacha kwenda tangu walipo ongeza michango ya kanisani.
1.Sadaka ya Zaka.
2.Sadaka ya jumapili.
3.Sadaka ya mavuno.
4.Sadaka ya jumuiya.
5.Michango ya harusi.
6.Michango ya misiba.
7.Michango ya viti vya jumuiya.
8.Michango ya kigango.
9.Michango ya jengo la paroko.
10.Michango ya ukarabati wa kanisa.
Umesahau mzunguko wa jumuia kutegemeza kanisa kana kwamba limeegema.
 
Back
Top Bottom