Nani kakudanganya?
Mungu yupo hapa duniani ku-reward uonevu?
Yaani wewe ufanye uzembe wako,uhamishie majukumu yako kwa wanadamu wengine wasiohusika then mungu akusaidie ku-reward hao watu unawaonea?
Huyo mungu ni mpumbavu na anasaidia katika uonevu wa watu wasio na makosa
Wazazi hawana uwezo wavune walichopanda wao maana ni maamuzi yao wao binafsi kujiletea yanayowakuta
Kama kuna natural calamities kama ulemavu,vifo,magonjwa makubwa,etc hapo tunaweza ongea and still nina hoja ya kupangua huo upumbavu
Hii virtue binadamu waliyopewa na dini yakua kila binadamu ni sacrificial lamb kwa mwanadamu mwenzie ni very very bad idea