Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,993
- 134,166
Hapo umezungumzia familia tu,bado ndugu. Hatari kabisa,usipokuwa mvumilivu unavunja undugu
We ni mtoto wa kipekee?? Huwa mna mambo nyie last born akasome....Sasa mimi ni first born ila nipo peke yangu....Huu uzi unanihusu?
Kweli kabisa mafirst borns tuna raha na shida, raha ni pale wazazi wanapozingatia mawazo yako kwenye maamuzi,kuna kaheshima fulani hivi, mimi dada mkubwa nna kaucontrol flani hivi mixer vibao na makonzi madogo wakizingua ila pia ntahakikisha vitu vimeenda sawa wamekula, wako sawa nk. Shida naona kabisa nakabidhiwa majukumu vizinga vya wanafunzi mara dada nimeishiwa pesa ya matumizi shule aargh nikiwa sina nawajibu wazazi wenu si wapo? Why mnaniomba mimi
Proudly firstborn miye![]()
mie dogo yupo shule lakini akiwa na shida au kusalimia ananipigia mie,huwa namuuliza mama hapatikani au?Hakuna kitu najivunia kua first born
My age is 26 now
Kuna wakat nnawatumia hera madogo...then i like their reply utasikia mungu akibariki brother.....after few days utakuta nmekamata
nilikuwa najuaga wewe ni babu
kumbe dogo tu.
.Mimi kuna likaka langu moja lina hela ila halisaidii nyumbaniYani Mimi vizinga vya home siwezi kupangua. Sipendi kuona wazazi/wadogo zangu wanashida Yana hata Kama ninakidogo nitajinyima niwape
Hongera unajitambua.Huu uzi umenikumbusha mbali sana,that time niko na miaka 19 tu ndo kwanza naanza chuo
Niliku
Kama mie tu,sipendi kupokea simu ya dogo eti dada nimeishiwa pesa ya matumizi,huwa naumia sana,ata yeye mwenyewe nilimwambiaga kuwa,,,naumiaga sana unavyoniambia hauna pesa ukiwa shule,,,nikampa onyoYani Mimi vizinga vya home siwezi kupangua. Sipendi kuona wazazi/wadogo zangu wanashida Yana hata Kama ninakidogo nitajinyima niwape
sio kwavile nimesema naumia ndio unipige vizinga kila siku
Mi first born ila kuna huyu dogo ni mtukutu nimempa kipondo mpaka hataki kuniona madogo wakizingua lawama zinakuja kwetu zote sasa ilo sipo tayari nitamyoosha sawia tens barabara, niligoroga sabuni ya unga nikatia pilipil kwa mbaalii nikamloesha nikamlamba waya mpaka nikamuonea huruma


weeh unapiga!! Me siwezi,nina dogo huyu ni wakiume pekee afu ni kamwisho,asee dogo jeuri,kiburi,hakatumiki kila kitu kanasema siwezi,Habari zenu wakuu,
Jamani maFirst born hasa tuliozaliwa kwenye hizi familia zetu za kipato cha kawaida nadhani msoto wa kukabidhiwa majukumu kabla ya wakati mnaujua.
Yani umepata kibarua Chako hata we mwenyewe hujimudu vizuri, unakabidhiwa mdogo wako umsomeshe na majukumu mengine ya nyumbani usaidie. Yani wadogo zako wao slope tu, kitu kidogo mtafuteni kaka/dada Yani ushatwikwa majukumu Kama yote.
maFirst born mliobeba majukumu ya mzazi popote mlipo hongera zenu.
Hivi unajua maana ya neno mwandamizi? Mwandamizi maana yake mkongwe, mzoefu.First borns are automatically deputy parentsukiwa mzaliwa wa kwanza yani wewe unakua ni mzazi mwandamizi
. This is Africa, ndo tunaishi kwenye hizo falsafa.
Utaahira ulitumika kama busta?Mimi 1 st born wa kike hakusoma hana maisha, second born wa kike hakusoma akaolewa na tajiri matokeo yake akawa tahira, third born ke mshua akashindwa mpambania kusoma kawa mzigo home, wa nne wa kiume anafanya mambo yake
Yani itatia huruma sana ila ndo ivyo bila fimbo heshima haipo kabisa,weeh unapiga!! Me siwezi,nina dogo huyu ni wakiume pekee afu ni kamwisho,asee dogo jeuri,kiburi,hakatumiki kila kitu kanasema siwezi,
Kupiga siwezi,nikimpiga mtoto vile akilia roho inaniuma,huwa najutia kupiga.
Asante.. TUNAITWA MAKAMU WAZAZIHabari zenu wakuu,
Jamani maFirst born hasa tuliozaliwa kwenye hizi familia zetu za kipato cha kawaida nadhani msoto wa kukabidhiwa majukumu kabla ya wakati mnaujua.
Yani umepata kibarua Chako hata we mwenyewe hujimudu vizuri, unakabidhiwa mdogo wako umsomeshe na majukumu mengine ya nyumbani usaidie. Yani wadogo zako wao slope tu, kitu kidogo mtafuteni kaka/dada Yani ushatwikwa majukumu Kama yote.
maFirst born mliobeba majukumu ya mzazi popote mlipo hongera zenu.
First Born ni kama mzazi ..nimejifunza kitu hapaYani first born akazingua Mara nyingi Wazazi wanapata msongo wa mawazo. Maana kiafrika first born Ni Kama mzazi wakitoka baba na mama yeye ndo anakabidhiwa majukumu.