Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Nimecheka SanaHa ha ha
Piga kelele akeee kwa Wyatt...weuweeeeeee
Saint Anne Hizo baraka zichukue wewe zikusaidie kulea watoto wako![]()







Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka SanaHa ha ha
Piga kelele akeee kwa Wyatt...weuweeeeeee
Saint Anne Hizo baraka zichukue wewe zikusaidie kulea watoto wako![]()







Kuna mada uliileta humu kumhusu 1 st bornHongera kama wazazi wameweza kukutegemea japo kipato hakitoshi. Ni vita kubwa ya kiroho wamepambana nawe pia umepambana bila kujijua maybe hadi wewe umefika hapo.
Kuna wazazi wengi watoto zao wa kwanza hawawezi hata kuwategemea kwa ushauri maana mshale wa dira upo kusini badala ya kaskazini yaani kama ni dish la kiroho lilishaaguka kabisa no chanel.
Maan mtoto wa kwanza ni vuno bora linalotafutwa na Muumba pamoja na ibirisi. Wote hao wanakuwinda wachukue hesabu yako kwako.. Ibilisi anapiga kichwa cha familia/first born ili familia iivurugike na Mungu anataka akiongeze kichwa cha familia ili familia isipalanganyike. Kama mzazi au mzaliwa wa kwanza usipojitambua utaishia kubaya.
Hongera sana kwa hilo maana tambua kwamba Mafanikio yako si ajili yako bali kwa ajili ya wae walio nyuma yako. Siku moja kidogo hicho kitaongezeka usivunjike moyo
Tembea na kanuni hii... Family- Duty- and Honor
Family always come first
We mtoto ni ni huyo punda hapo juu


Na ukimuacha una mharibu huyo bora akuchukie saiz ila atakupenda baadaeweeh unapiga!! Me siwezi,nina dogo huyu ni wakiume pekee afu ni kamwisho,asee dogo jeuri,kiburi,hakatumiki kila kitu kanasema siwezi,
Kupiga siwezi,nikimpiga mtoto vile akilia roho inaniuma,huwa najutia kupiga.