Grena
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 656
- 1,557
- Thread starter
- #81
Mimi juzi dogo anaingia six wamefungua shule mwezi wa saba Ada hamna na anadaiwa ya term iliyoisha. Mshahara ulipoingia nilitoa Kama ulivyo nikamtumia, Yani tuseme nasurvive kwa nguvu za muumba. [emoji2]Amebaki dogo mmoja yuko mwaka wa pili huu dah ananiumiza kichwa sana. Chuo private, ada mil 3.2 plus gharama zingine zote. Sasa hivi sina laptop karibia mwaka sasa, aliichukua yeye asomee.
Najiona kabisa saa hizi namiliki hiki na hiki ila ndio hivyo pesa inaenda kwake. Acha amalize nile bata.