Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,765
- 225,507
Mimi niliambiwa siku ya harusi kuwa sifai kwa sababu nimependa chura
Ngoja tumwite na KOROE atoe ushuhuda wake namna alivyomchakaza dada siku ya kutoa mahari.
Mimi niliambiwa siku ya harusi kuwa sifai kwa sababu nimependa chura
Mahari irudi na irudiwe hahahahahahahKafungue shauri polisi utapewa mwongozo .hapo ni lazima mahari irudi
Mimi nilisikitika tu kwa muda waliopoteza.Hahahahaaa
Wewe dada una vituko aisee
Anae mjua huyo kaka ni huyo dada,sio wewe!
Huyo dada yupo entitled and qualified to do the decisions on him kama alivyofanya sio wewe
Huyo dada kafanya maamuzi sahihi kwake sababu as a rational human being kafanya kitu anachoona yeye on her best interest!
Nyie kufikiria kuhusu vijihela and blah blah ni emotions zenu tu ambazo hazina msingi
Yaani nyie kwa utashi wenu mnaona ni sawa hela za msaada ziwe ni kigezo cha kushikilia loyaty na penzi la mtu kwa mtu hata kama hampendi?Kama ni hivyo hiyo ni coercion force,sio mutual love
Yaani unalazimishwa kumpenda mtu milele sababu ya value ya monetary units supplied regardless?
Hii anauquantify vipi muda wake katika pesa?Hapana kitu kama zawadi huwezi kudai hizo pesa pia kama ulitoa kwa hiari na sio mkopo huwezi kudai.. Sana sana labda udai fidia ya usumbufu navkupotezewa muda
Bro andika kijitabu chako kinaweza kikasaidia watu wajao haswa ugusie kwenye ulimwengu wa kiroho, mapambano ya kutoboa kimaishaNi ngumu kuanza kumhukumu mapema kabla ya kusikia upande wake.. Mahusiano yanayofikia kipengele cha ndoa hukumbwa na mengi ya kutisha
Nakumbuka mimi ile wiki ya harusi nilinusurika ajali mara 5, 2 zikiwa natembea kwa miguu na 3 nikiwa nadrive..kama nisingekuwa kamili leo hii nisingekuwa hapa
Usihukumu bila kujua upande wa binti.Halafu kuna siku atalalamika kwamba shetani alimpitia anaomba mambo yaishe mrudiane....
Au atalalamika kwamba anamikosi ya kuolewa. Shenzi kabisa
Kuzimia kawaidaAtazimia
Unaona sasa
Huyo dada hana kosa
Aliingia kwenye penzi kama blow back effect ya penzi lake la kwanza
Hakumpenda huyu mpya kama inavyotakiwa
Hivyo kafika pahala kapata mtu anaemhitaji
The nigga has no choice zaidi ya kumuachia huyo dada anaenda kwa huyo mtu bila masharti yeyote
Na huyo kaka atafute kiazi mwenzie
Kuhusu hoja ya hela,ndio maana nikasema ni emotions zenu tu
Nyie mmeona sana msaada wa hizo hela wakati anamsadia huyo dada,jee huyo dada alikua hamsaidii huyo kaka vingine hela included?Jibu ni Yes
Nyie mpo na sympathy na huyo kaka,ndio maana nasema ni emotions zimewakumba
Kwenye mapenzi hakunaga makosa ya yeyote..ni kwamba people are faithful as long as their options
Dont take things personal,kaenda kwa mwingine maana you are not worthy it,chapa lapa nenda kwa anaekukubali,mengine ni laana za kingese tu
Unazimia unazinduka na kusonga mbele kama Injili?Kuzimia kawaida
Kuhusu mioyo ni full haki dada yangu
Hakuna moyo wa mtu unaonewa mapenzi
Umenyimwa mapenzi ni kwamba hupendwi,huna pa kwenda kushitaki popote duniani
Jishitaki wewe mwenyewe kwenye moyo wako binafsi
Injili inasonga mbele bila kurudi nyumaUnazimia unazinduka na kusonga mbele kama Injili?
SA ni rahisi sana kusema, ila omba yasikukute.
Asante umenisaidia kujibu.Ndoa ni something else
Mimi sina dini,ila nachojua ndoa tayari umesaini legal contract kabisa na mihuri juu
Pale we can deal with this shit legally
😄😄 Angemwambia vipi na wakati dada alimchukulia mwenzake kama potential flani?
Eti atafute kiazi mwenzie.
Kaka huna roho ya huruma japo kidogo.
Sisi tunachoongea ni kwanini asingemwambia mapema kama hakumpenda!?!
witnessj
Kumbuka ilikuwa couple ya kanisani.Angemwambia vipi na wakati dada alimchukulia mwenzake kama potential flani?
Ila kwa 3yrs sidhani kama ni kweli dada alikuwa anamtumia huyo kaka kama daraja la kujivukia alipo break up.
Itakuwa dada alijaribu kuchepuka then akanogewa huko nje. Akaona mbona kaka hana huba kama ninalolipata huku nje? Huyoo akayeya na 240kph
Hahahaa church's couple... Ni wachache sana eti wanaoshii kihivyo 'no sex. Ya gizani huyajui..Kumbuka ilikuwa couple ya kanisani.
Inaenda kikristo,No sex,,na tuliamini hivyo.
Sijui hata Shetani gani aliwavurugayaani ukiwaangalia wote wapo innocent mno.
Eeh!?akayeyuka na 240KPH ,atakuwa alikiwasha na Subaru
Injili inasonga mbele bila kurudi nyuma
Naomba yasinikute,na pia naomba nisije mfanyia hivyo mtoto wa watu.
Last month niliota nimevunja uchumba siku ya ndoa,shughuli zinaendelea watu washajaa ukumbini mimi nikamwita pembeni nikamwambia noo siolewi.
Yaani eti niliota nimeandaliwa harusi ya surprise bila mimi kujua,nachukuliwa,napambwa,napelekwa ukumbini ,naambiwa eti ni harusi yangu,Bwana harusi namjua na hakuniambia kama ananioa,ila hiyo harusi hakuna hata ndugu yangu anayejua.
Ndoto nyingine hizi ni balaa tupu
Sijui hata iliishajeulikemea ilo pepo? Au ulimalizia kufunga ndoa yako.
Huyo dada hawajibiki kwa mwanadamu mwingine yeyote kuhusu penzi la moyo wake
Kumpangia siku za announcements and blah blah ni kuingilia uhuru wake
Kulikua hakuna legal contract labda useme kuna breach of trust,hivyo mengine yote ni purely personal decision
Mwacheni afanye maamuzi yake maana habanwi na contract yeyote
Hahahaa church's couple... Ni wachache sana eti wanaoshii kihivyo 'no sex. Ya gizani huyajui..
Me chuo kuna dada mmoja alikuwa anauliza kwani wanafanyaga nini huko 'during sexual intercourse? Alikuwa msabato kindaki ndaki, aibu kama zote hata mbele ya wasichana wenzake habadilishi nguo. Kilichotokea unakijua? Hata chuo hakijaisha dada kaanza kulamba ndimu na maudongo
Binti kawasha suby bila reverse