Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,801
- 225,568
Au kuna kitu jamaa amemkosea binti?Huruma kwakweli, vijana wanapitia magumu.
Ujue hapa tumesikia stori ya upande mmoja.
Au kuna kitu jamaa amemkosea binti?Huruma kwakweli, vijana wanapitia magumu.
Kuachwa ni fedheha sana,Dada kubadili gia angani speaks more of this guy than the girl herself!
Kua dumped is more of the weaknesses and stupidity ya alieachwa more than anaeacha....
Inawezekana hajakosea hata kitu kaka wa watu. Issue ya kufunga ndio sio kila mtu hufurahia. Hapo mdada baadae anaweza shangaa kwanini alifanya hilo tukio na ikawa tayari ni too lateKuachwa ni fedheha sana,
Yawezekana mwamba pia kuna sehemu alikosea.
Jamani wanasheria naombeni ushauri Mimi nilikuwa na mwanamke ambaye alikuwa mchumba wangu , na tulisha chumbiana mpaka kumvalisha Pete na mipango ya harusi ikaanza Sasa Basi akiwe yeye yupo katika hatua ya kujiandaa na send off na Mimi pia nikiwa najiandaa kwa harusi ambayo ilitakiwa ifanyike mwezi wa 9 ,lakini ajabu mwanamke amekuja kunitamkia kuwa tusitishe mahusiano yetu na hayupo tayari kuolewa na Mimi inshort hanitaki Tena , Sasa nauliza je Sheria inasemaje yanapotokea Haya
Naombeni ushauri na maana taratibu za kutaka mahali yetu irudishwe inaendelea lakini wazazi wa binti sio waungwana kila siku wanatupiga maneno tu , naombeni ushauri
Ila haya mambo.Inawezekana hajakosea hata kitu kaka wa watu. Issue ya kufunga ndio sio kila mtu hufurahia. Hapo mdada baadae anaweza shangaa kwanini alifanya hilo tukio na ikawa tayari ni too late
Mkuu unazidi kupigilia misumari.Kuachwa hua ni kosa la alieachwa
Cha ajabu alieachwa hua anaamini yeye hana kosa kumbe yupo dellusional
Mwamba ndio ana makosa binafsi labda ni weaknesses na vitu vingine ndio maana kaachwa
Ifike pahali mtu uwe na uwezo wa kutatua kasoro zako za mapenzi wewe mwenyewe uache kwenda serikalini au kumlaumu aliekuacha
Huyo mwanamke kaona it was not in her best interests kuendelea kua na loser kama huyo in her own view
Huyo mwanamke yuko sahihi,haiwezekani aendelee kua na mtu ambae yeye anaona sio anavyotaka yeye
Alieachwa ajilaumu yeye kama yeye kwamba hakufaulu mtihani kwenye ubongo wa alie muacha
Majitu mengine mashenzi sana,yanalia lia vitu vya kipumbavu kabisa
Lenyewe linadhani huyu dada ampokee tu hata kwa lazima on his own self interests sababu asiumie moyo na alitoaga muda wake,etc
Kila mtu ana self interest hapa,kama hakuna overlap za common interest basi dump each other and stop complaining
Tamaa mbele mauti nyuma. Ukishajua maisha hayana formula na aliyeko juu leo hujui kesho yuko wapi huwez fikia uamuzi huo tena kwa mtu mliyependana mpaka kufikia ndoa. Watu wengine hupenda vilivyoiva ila hatua za kuivisha hataki. Unabaki kutanga na dunia.Ila haya mambo.
Mimi nilishashuhudia couple moja ilitikisa sana kanisani..yaani ilikuwa couple ya mfano...
Kaka aliwahi kumaliza shule miaka miwili mbele kabla ya dada.Tamaa mbele mauti nyuma. Ukishajua maisha hayana formula na aliyeko juu leo hujui kesho yuko wapi huwez fikia uamuzi huo tena kwa mtu mliyependana mpaka kufikia ndoa. Watu wengine hupenda vilivyoiva ila hatua za kuivisha hataki. Unabaki kutanga na dunia.
Ila we jamaaMimi wala hainisumbui maana nipo rational kupita maelezo
Maana siwezi kua mad na mtu kwa kujali her own interests kwanza mine maana ni haki yake
Haya mengine ya kwenda mpaka serikalini ni kuonyesha reasoning yako bado ni ya hovyo ndio maana hata huyo dada kakubwaga to begin with sababu you cant handle reality!
Halafu baadae ndio nyie nyie mnaosema wanawake wanapenda hela kuliko mapenzi. Maana kwa nlivyoelewa hapo kaka alitoa kwa nia njema kwa kumjali mpenzi wake na dada akachukulia ni opportunity ya kumfilisi kaka wa watu.safi
huyo dada yuko sahihi...
Angemkataa tangu mwanzo basi kuliko wanakaribia ndoa ndio anaanza kusema ana mtu mwingine.Safi sana
Huyo dada yuko sahihi
mengine ni emotions tu...
Kaka alitoa kwa nia ya kumsaidia tu na si kwamba dada alikuwa na njaa kihivyo.Halafu baadae ndio nyie nyie mnaosema wanawake wanapenda hela kuliko mapenzi. Maana kwa nlivyoelewa hapo kaka alitoa kwa nia njema kwa kumjali mpenzi wake na dada akachukulia ni opportunity ya kumfilisi kaka wa watu.
Ni tabia mbaya kama humpendi mtu bora umwambie kuliko kumtumia halafu unamtema kama bigG
Imagine mtu amekaa naye 3yrsHalafu baadae ndio nyie nyie mnaosema wanawake wanapenda hela kuliko mapenzi. Maana kwa nlivyoelewa hapo kaka alitoa kwa nia njema kwa kumjali mpenzi wake na dada akachukulia ni opportunity ya kumfilisi kaka wa watu.
Ni tabia mbaya kama humpendi mtu bora umwambie kuliko kumtumia halafu unamtema kama bigG
Mjanja kapendwaJamani wanasheria naombeni ushauri Mimi nilikuwa na mwanamke ambaye alikuwa mchumba wangu , na tulisha chumbiana mpaka kumvalisha Pete na mipango ya harusi ikaanza Sasa Basi akiwe yeye yupo katika hatua ya kujiandaa na send off na Mimi pia nikiwa najiandaa kwa harusi ambayo ilitakiwa ifanyike mwezi wa 9 ,lakini ajabu mwanamke amekuja kunitamkia kuwa tusitishe mahusiano yetu na hayupo tayari kuolewa na Mimi inshort hanitaki Tena , Sasa nauliza je Sheria inasemaje yanapotokea Haya
Naombeni ushauri na maana taratibu za kutaka mahali yetu irudishwe inaendelea lakini wazazi wa binti sio waungwana kila siku wanatupiga maneno tu , naombeni ushauri
Yeye anadai alimkubalia kwa sababu alikuwa na maumivu ya mapenzi wakati huo,alikuwa ametoka kubreak up na mtu.Dada naona umeangalia upande wa huyo kaka pekee yake
Mimi naangalia upande wa huyo dada aliefanya maamuzi
Reality ni kwamba both of them used each other
Kaka alikua na pesa,kaona dada yupo vurnerable financially,akaingia na gia ya kutoa msaada ili apate penzi
Utaniambia ooh sijui kaka alimpenda sana mpaka katoa hela and blah blah blah
Kama alimpenda sana na hakua na motives za ku-exploit hali ya umasikini wa huyo dada basi asingelalamikia hela zake alizotoa kipindi anaachwa mwishoni
Ni kwamba,penzi kaka alilipata kwa convinicience kipindi dada ana shida ana kaka can fill the financial vacuum
Sasa hivi hiyo financial problem has been solved,dada ni financially independent,naturally umuhimu wa huyo kaka lazima upotee maana yeye ali-base umuhimu wake kwa kutoa msaada wa kifedha
Yeye kaka alidhani kutoa pesa kutampa leverage ya penzi milele kutoka kwa huyu dada maana alikua mtoa matunzo,wakati dada kashavuka hiyo shida inatakiwa aangalie moyo wake unamtaka nani na sio kuendelea kushikiliwa na yule mwanaume sababu tu eti alimsaidiaga kipindi cha shida financially
Unatumia past vurnerabilities za huyu dada kum-hold hostage milele asipende mtu amtakae?
Wacha sanaa
Piga chini hiyo maiti,he paid for the ride,safari imeisha,its time for huyo dada kupata mtu of her own choice and not convenience
Acha kua na mihemko kwa vihela vyenu vya msaada,dada hakua na namna
Acheni kabisa kupitisha judgement mufilisi hizo
Na huu upumbavu wa nilimsaidiaga kipindi cha shida and blah blah kipo vinchi vyetu hivi vya kimasikini huku
Kila kitu boils down to pesa this pesa that and blah blah....hii ni sababu ya umasikini mkubwa kutoa hela kunaonekana ni ultimate sacrifice kumbe ni nonsense tu