Kuvunjika kwa uchumba

Hizo dakika za lalasalama shetani husimamia show kwa namna ya ajabu kabisa... ! Nimeshakutana na kesi nyingi za namna hii na nyingine zikiwa ni simulizi za hapa JF
Haya bhana ndio maaana vijana saivi wanavutana wanaishi fresh tu ili kumkwepa huyo shetani hala mambo ya paperwork yatafuata baadae
 
Jamani wanasheria naombeni ushauri Mimi nilikuwa na mwanamke ambaye alikuwa mchumba wangu , na tulisha chumbiana mpaka kumvalisha Pete na mipango ya harusi ikaanza Sasa Basi akiwe yeye yupo katika hatua ya kujiandaa na send off na Mimi pia nikiwa najiandaa kwa harusi ambayo ilitakiwa ifanyike mwezi wa 9 ,lakini ajabu mwanamke amekuja kunitamkia kuwa tusitishe mahusiano yetu na hayupo tayari kuolewa na Mimi inshort hanitaki Tena , Sasa nauliza je Sheria inasemaje yanapotokea Haya

Naombeni ushauri na maana taratibu za kutaka mahali yetu irudishwe inaendelea lakini wazazi wa binti sio waungwana kila siku wanatupiga maneno tu , naombeni ushauri
Utaratibu wa kudai mahati unategemea na mila.za kabila lako na kabila la mwanamke

Kama amesema hakutaki wewe endelea na msish usilazimishe

Pole sana kwa yaliyokupata
 
Jamani wanasheria naombeni ushauri Mimi nilikuwa na mwanamke ambaye alikuwa mchumba wangu , na tulisha chumbiana mpaka kumvalisha Pete na mipango ya harusi ikaanza Sasa Basi akiwe yeye yupo katika hatua ya kujiandaa na send off na Mimi pia nikiwa najiandaa kwa harusi ambayo ilitakiwa ifanyike mwezi wa 9 ,lakini ajabu mwanamke amekuja kunitamkia kuwa tusitishe mahusiano yetu na hayupo tayari kuolewa na Mimi inshort hanitaki Tena , Sasa nauliza je Sheria inasemaje yanapotokea Haya

Naombeni ushauri na maana taratibu za kutaka mahali yetu irudishwe inaendelea lakini wazazi wa binti sio waungwana kila siku wanatupiga maneno tu , naombeni ushauri
Potezea tu mkuu wanawake wapo wengi pia huwezi jua Mungu kakwepusha na lipi, Pengine siku angekuchomea ndani uive kama ndafu.
 
Pole sana mkuu, ndio mabinti wa sikuizi hao, tena vibinti vya chuo ndio usiseme chifu,, elimu inawapa vibuli na majivuno ya hali ya juu na ndiomana avidumu kwenye ndoa.

Mara nyingi mabinti wa staili iyo anakutema akijua huko anakoenda ni sahihi na salama kwake kumbe anakutana na mwanaume sio chaguo lake,halimpendi kisha linamtesa na kumpiga, halafu anaanza juta tena 😄 Mungu amsaidie.

Be patient chifu, utampata mke mwema tena mpore sana
 
Dah! You never know Annie... Ya duniani mengi.

Ilipaswa huyu mtoa mada amuhoji kwa kina mchumba wake sababu zilizompelekea mpaka avunje uchumba. Wasipoelewana basi mshenga ashirikishwe.
Ya duniani mengi lakini mimi naona hadi kumruhusu mtu alete mahari kwenu ni hatua kubwa..
Halafu kirahisi tu umwambie hutaki kuolewa!

Cha muhimu arudishe mahari.
 
Halafu kuna siku atalalamika kwamba shetani alimpitia anaomba mambo yaishe mrudiane....

Au atalalamika kwamba anamikosi ya kuolewa. Shenzi kabisa

Hahhhaaaaa, waswahili ndivyo walivyo mkuu, isipokua wachache wenye kujitambua. Wamefikia stage iyo arafu binti amgeuka mchumbawake!!!!! Aise Sio sawa kabissa walichokifanya, na wazazi vile vile awakutumia busala.

Halafu aya ma send-off na kuvarishana pete ni mila za wazungu, sisi waafrika haya mambo hayapo.
 
Dah! You never know Annie... Ya duniani mengi.

Ilipaswa huyu mtoa mada amuhoji kwa kina mchumba wake sababu zilizompelekea mpaka avunje uchumba. Wasipoelewana basi mshenga ashirikishwe.
Yaani nimefanya hivyo pia na Kuna dada ake ambeye wameshare baba , nilimshikikisha kutokana na kuwa tangu nakuwa amekuwa akisaport Sana na tangu tunaingia uchumba huyu dada amekuwa akinishauri vitu vingi hasa kusali Sana maana ni mtu wa dini , kwaivyi ilipotokea mdogo wake ameamua tuachane nikaona sio mbaya kumshirikisha huwezi Amini alikaa na mdogo wake masaa zaidi ya ma 4 akisali nae na kumuuliza kwanini kaamua hivyo hakuwa na jibu zaidi ya kusema tu nimeamua tu ,
 
Washirikishe na wajomba / washenga.

Akigoma pia mwambie arudishe mahari.

Kwanza mtext sahivi mwambie awaambie ndugu zake kwamba hataki kuolewa tena na mahari ya watu inatakiwa.
 
Yaani nimefanya hivyo pia na Kuna dada ake ambeye wameshare baba , nilimshikikisha kutokana na kuwa tangu nakuwa amekuwa akisaport Sana na tangu tunaingia uchumba huyu dada amekuwa akinishauri vitu vingi hasa kusali Sana maana ni mtu wa dini , kwaivyi ilipotokea mdogo wake ameamua tuachane nikaona sio mbaya kumshirikisha huwezi Amini alikaa na mdogo wake masaa zaidi ya ma 4 akisali nae na kumuuliza kwanini kaamua hivyo hakuwa na jibu zaidi ya kusema tu nimeamua tu ,
Khaaaaa!!!!

Huo muda unaofanya haya unautoa wapi?

Ni kweli inaumiza, ila kuanza kuuliza uliza kuomba ushauri kwa dada yake ni kujionesha ulivyo dhaifu kwa huyo mchumba wako.

Na inawezekana ni udhaifu wako huo juu yake ndio umemfanya akutishie upuuzi wake.

Muache aende, mahari samehe, na yeye msamehe, kama huwezi kumsamehe ongea na Mungu, mwambie "Mungu shughulika nae huyu namna utaona Inafaa" wewe fanya mambo mengine.

Haya maumivu yanayokufanya upapatike ni ya muda tu yataisha. Acha kuhangaika nae
 
Back
Top Bottom