Kuvunjika kwa uchumba

Kijaaa

Member
Nov 19, 2017
26
37
Jamani wanasheria naombeni ushauri Mimi nilikuwa na mwanamke ambaye alikuwa mchumba wangu , na tulisha chumbiana mpaka kumvalisha Pete na mipango ya harusi ikaanza Sasa Basi akiwe yeye yupo katika hatua ya kujiandaa na send off na Mimi pia nikiwa najiandaa kwa harusi ambayo ilitakiwa ifanyike mwezi wa 9 ,lakini ajabu mwanamke amekuja kunitamkia kuwa tusitishe mahusiano yetu na hayupo tayari kuolewa na Mimi inshort hanitaki Tena , Sasa nauliza je Sheria inasemaje yanapotokea Haya

Naombeni ushauri na maana taratibu za kutaka mahali yetu irudishwe inaendelea lakini wazazi wa binti sio waungwana kila siku wanatupiga maneno tu , naombeni ushauri
 
Halafu kuna siku atalalamika kwamba shetani alimpitia anaomba mambo yaishe mrudiane....

Au atalalamika kwamba anamikosi ya kuolewa. Shenzi kabisa
Ni ngumu kuanza kumhukumu mapema kabla ya kusikia upande wake.. Mahusiano yanayofikia kipengele cha ndoa hukumbwa na mengi ya kutisha.

Nakumbuka mimi ile wiki ya harusi nilinusurika ajali mara 5, 2 zikiwa natembea kwa miguu na 3 nikiwa nadrive..kama nisingekuwa kamili leo hii nisingekuwa hapa
 
Ni ngumu kuanza kumhukumu mapema kabla ya kusikia upande wake.. Mahusiano yanayofikia kipengele cha ndoa hukumbwa na mengi ya kutisha
Nakumbuka mimi ile wiki ya harusi nilinusurika ajali mara 5, 2 zikiwa natembea kwa miguu na 3 nikiwa nadrive..kama nisingekuwa kamili leo hii nisingekuwa hapa
Uchumba mpaka kufikia hatua ya kutoleana mahari huwa umedumu kwa mda mrefu na mmeshajuana hadi tabia labda kama wameokotana chapchap
 
Hivi mtu unaenda polisi kushughulikia swala la kiduwanzi kama hili kweli?

Mwanamke hakupendi,sasa hadi muda wa kufata hiyo mahari utakua nao kweli?

Sirudi popote,wale,nitapata michongo mingine

Kupotezewa muda?Yaani kwamba ulipiwe muda wako?

Jeez

Dunia hii kuna vishoia kabisa
Si kila mmoja anaweza kupotezea kama wewe na sometimes mahari husika uliitoa kwa tabu kubwa...
 
Ni ngumu kuanza kumhukumu mapema kabla ya kusikia upande wake.. Mahusiano yanayofikia kipengele cha ndoa hukumbwa na mengi ya kutisha
Nakumbuka mimi ile wiki ya harusi nilinusurika ajali mara 5, 2 zikiwa natembea kwa miguu na 3 nikiwa nadrive..kama nisingekuwa kamili leo hii nisingekuwa hapa
Dah broo nakuelewa Sana , yaani mpaka nahisi kafungwa kiakili maana akiulizwa kwanini umeamua anasema Mimi huwa namwambia njoo unifulie wakati bado hata ndoa sasa kiuhalisia haiingii akikini
 
Back
Top Bottom