Kuvunja katiba za chama na nchi kwa kuvuruga utaratibu au kuiba kura ni uhaini na ukuwa unajaribu kuzuia uchaguzi

Kuvunja katiba za chama na nchi kwa kuvuruga utaratibu au kuiba kura ni uhaini na ukuwa unajaribu kuzuia uchaguzi

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Kuzuia uchaguzi ni pamoja na kuiba kura, kutoa rushwa na kuvunja mchakato wa kupatikana wagombea ndani ya chama na kuvunja katiba ya chama.

Kuzuia uchaguzi sio kusema unataka mabadiliko au maboresho ya kiuchaguzi bali ni kile kitendo cha wizi, rushwa na uvunjifu wa katiba ya nchi na chama, kwani unakuwa unaiba unaondoa uchaguzi na kujiweka wewe badala ya kuacha wananchi wachague wamtakaye.

Huku ndiko ni kuzia uchaguzi usifanyike, je hali ya sasa inakupa picha gani ?
 
Hapo kwenye kichwa cha habari peke yake nimetoka BLUE sielewi nini ni nini
 
Hii wakiulizwa wanakaa kimya. Kuna watu watakuja kufa vibaya aisee hii hasira wanayojaza vifuani mwa raia aisee naomba MUNGU very soon lifanyike jambo tumalizane nao. Hawa ni nyoka sio watu aisee.
 
Back
Top Bottom