Matege
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 1,476
- 648
mbona kawaida tuu mi huwa navaa boxer yake mbona
khaaaa.. wengine wana boxer zile za kizamani kariakoo zinauzwa buku buku.. loh ntajifanya naipenda ila hata mlangoni kwangu haikanyagi. naitupia njiani
mbona kawaida tuu mi huwa navaa boxer yake mbona
unajua sikusomi we jamaa.. iyo keki umekatiwa wapi mkuu???
hebu rudia kuuliza swali kwa ufasaha
Mambo Gani Sasa Hayo miss neddy
haha nauliza tu
Mi hua hazinitoshii la sivyo tutazipanua zilegeee
seriously, hii huwa inatokea kweli?[/QUOTE
Ni kweli inatokea 100%
Jamaa gani kama sio wewe...fix zingine bhana...