Kuvaa nguo ya ndani ya mpenzi wako

Kuvaa nguo ya ndani ya mpenzi wako

Mbona kama sielewi....habari inasema hizo nguo zimeundwa katika mtindo wa kusupport maumbile yote...kama ilivyo kwenye picha af wachangiaji wanaongelea habari ya vikamba sijui g-string.....yamekujaje??
 
Khantwe rekebisha kauli bana...kubebe maumbile yote kwani wewe una nini cha kubebwa.
 
Last edited by a moderator:
kwa wanawake ni kawaida
mi navaa tu tena napenda kweli
 
Back
Top Bottom