CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
- Thread starter
- #21
Ahsante sana mie nimeongezea tu ila aliyetoa wazo hili anastahili pongezi, nimeishakaribishwa na Malila na hata kwenda kwenye baadhi ya project zake, ila mie ukulima wa mazao niseme kweli sipo huko. Lakini ni wazi wenzetu wamepiga hatua kubwa...
Nadhani kuna haja ya kufanyia kazi haya mawazo, ninaikumbuka hiyo hoja yako, tena samahani kama tulikukatisha tamaa maana ilikuja wakati usio mzuri. Ilikuwa kuna mdau anaulizia soko la mayai, nawe ulishauri watu waingie contract na wanunuzi kabla ya kuzalisha sasa kwa wakati ule isingekuwa muafaka kwake maana mayai yatamharibikia...
Lakini nadhani twende taratibu hadi na sie wafugaji zaidi ya kupeana ujuzi pia tuweze kutengeneza network hatimaye umoja ktk kuzalisha hadi kumiliki soko.
Ya wakina Malila wako mbali, ila mimi napenda wawe mbali zaidi ya hopo ili waweze kushindana hata na External Investaors, lazima tufiikilie kwenda External zaidi,
Hata ufugaji mnao fanya lazima ufikilie kwenda mbali zaidi ya hapo, na utafika vipi hapo ni through Mikopo au kuunganisha nguvu, Imegine South Africa wanaweza kuuza kuku Tanzania wakati sisi hata Kenya hatuna Ubavu wa kuuza why this?
Ni lazima ufikie mahali unauuza kuku nchi nzima na hata nchi za jilani, je utafika vipi hapo ndo swali muhimu kuliko yote, na kweli bila kuunganisha nguvu hatuwezi fulukuta, kule kenya kuna kampuni unakuta zina kuku mpaka unaogopa, kampuni ndogo tu lakini unkuta wameunganisha mitaji na wana kuku 35,000 hadi 100,000 wakati sisi huku mtu akiwa na kuku 4000 ndo wengi sana
UTAKAUTA BAADHI YA MAENEO KUNA WAFUGAJI KUMI NA TANO MTAA MMOJA
- Huyu ana kuku 200
- Huyu ana kuku 400
- Huyu ana kuku 100
- Juyu kadhaa
Kila mtu yuko bize na hakuna aliye tiyali kuunganisha nguvu na kuja na Mradi wa pamoja, kwa hiyo idadi