Dah mkui hii thread nisha isahau kabisa, shukurani kwa kuileta, ni kweli mkuu kuunganisha nguvu kwa huku ni ishu ngumu sana na kila mtu anaona afe kivyake.
nguvu ya pamoja ni suluhisho. Kama tunashindwa kuwa pamoja, japo tuweke "common goal" kisha lipigwe gombania goli, kwa mtindo wa win-win. Hii inamaanisha kwa mfano kushare info, au networking baina ya mtoa pembejeo, mzalishaji, mwongeza thamani na mchuuzi wa jumla. Hapo tutashinda.