Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 477
- 1,244
Kuna kitu hiki kinachoitwa radi ni hatari sana na husababisha madhara Kama vifo kwa binadamu na wanyama
Tuchukue tahadhari gani wakati mvua za radi zinanyesha au zinaelekea kunyesha tukiwa majumbani na tukiwa nje kwenye shughuli zingine?
Wapo wanaosema zima simu wakati mvua inanyesha au epuka kuchati au kuongea na simu wakati mvua za radi zinanyesha
Wengine wanasema zima Tv na radio wakati mvua inanyesha na usikae karibu na socket ya umeme
Wapo wanaosema zima umeme kwenye nyumba yako
Je earth wire ni waya inayowekwa kwenye mfumo wa umeme kwenye nyumba ili kuzuia radi , je usanifu wake ni asilimia ?
Vipi wewe unasemaje kuhusu kujikinga na radi wakati wa mvua?