Donansia Nkwai: Hakuna uhusiano wowote kati ya Radi na Nguo zenye rangi nyekundu

Heparin

Senior Member
Sep 24, 2021
128
420
Akiongea kwenye kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM, leo January 25, 2023, Koplo Donansia Nkwai kutoka Jeshi la Zima Moto na Uokoaji (Iringa) amesema hakuna uhusiano wowote uliopo kati ya radi na nguo nyekundu.

Aidha, ikiwa utakuwa kwenye eneo la wazi wakati radi inapiga, unashauriwa kuchuchumaa chini na kuweka kichwa chini ya magoti ili kupunguza kimo, kwani umem wa radi huathiri kwanza vitu virefu.

Ameshauri pia watu kutokukaa kwenye miti, kuzima simu wakati wa radi kwa kuwa hutumia mionzi inayoweza kuungana na kuleta shida kama kutetemeka kwa mwili.

Soma: UZUSHI - Kuvaa nguo nyekundu kunasababisha kupigwa na radi
 
Back
Top Bottom