Kutokwa na sperm uume ukiwa haujasimama

Kutokwa na sperm uume ukiwa haujasimama

Comment ya 101.

Kuhusu nyeto mi naona ni kila mtu na akili yake na ubongo wake kuna watu wanapiga sana na show zao ni hatari( Acha ujinga usiniulize nimejuaje) Na wanadai bila nyeto haoni raha ya tendo tuko radhi aanzie nyeto ndo aende kupeleka moto na anapeleka haswa miaka nenda rudi no madhara.
Ila wengine ndo kama hivyo wanaaibika sana maana akili inaharibiwa plus uoga wa kuwa kumaliza hivyo wanajikuta waoga kila siku.
Kama nyeto inakudhuru acha kabisa usiendekeze,asikudanganye mtu kuna vitu tunakula vinaongeza Shahawa tu na si uwezo wa tendo.
Zingatia ushauri wa wengi acha nyeto,acha porn, lala vizuri,fanya mazoezi,Kula matunda,piga maji mengi,kula msosi ushibe,punguza mawazo Tafuta Dem mmoja unaemmudu mzoee na umle mara kwa mara muda tu utakua konk na hata ukochepuka utapiga show kambambe.
Shukran kaka
 
Thanks kak
 
Back
Top Bottom