Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,567
- 9,764
una nata nata?
Ujue nlisha wai kwenda na mtto wa kike geto alivo toka ngoma ndo ika simama ila n yeye aliona ime simama lakin toka siku iyo cja wai naogopa iyo issues kjiludia afu si unajua wan dda wa sikuiz kkutangaza n kgusa tyuKula vizuri,fanya mazoez na usifikirie kuhusu sex...kama uwezo wa kuoa upo oa
Gono bila sex ina wezekanaSio semen hiyo.Ni usahaha.Huenda una gono.
NENDA karipoti zahanati
Yeap ina Nata nata kakauna nata nata?
Kawaida sana hyo mkuu...ata mim ishawai ntokea baada ya kujitambua nikawa najiamini na kuanza kuwazoea wanawake...Ujue nlisha wai kwenda na mtto wa kike geto alivo toka ngoma ndo ika simama ila n yeye aliona ime simama lakin toka siku iyo cja wai naogopa iyo issues kjiludia afu si unajua wan dda wa sikuiz kkutangaza n kgusa tyu
Sijakuelewa apoGono bila sex ina wezekana
Unaweza kupata gon bla k sexSijakuelewa apo
A cha nyeto mkuu acha nyeto narudia acha yasijekukuta yaliyonikuta mmSorry mimi ni kijana wa kiume mwenyewe umri wa Miaka 20 sasa uongo mbaya nimepiga sana punyeto kwa sasa nimeacha ila korodani zangu uwa zina uma sana na hata milija ya korodani.
Sometime ina vimba sana na kupelekea sperm kutoka ikiwa uume uja simama please mwenyew maoni au msaada please[emoji120][emoji120]
Nshukuru kwa mawazo yakoMzigo ume legea uo soon litakua pambo ..
Wewe ni bikra??Unaweza kupata gon bla k sex
Uume morn una simama kama kawaida ila sasa nikiwa na mtto wa kike hisia n mpaka za kutafuta sana kweli sija wai fanya mapenzi .maana niliwai jaribu nika vulisha mtoto wa mtu lakin ngoma aiku simama mala ya pili nika rudia kwa mwingine ili simama mda ana ondoka geto toka apo sija wai tena kuleta binti tufanye nae mapenzi..nakuhusu sperm ktoka uwa zina toka unakua kama una isi mkojo wa mwisho mwisho ule tuna sukuma kwangu. Uki sukuma tu zina toka uisi ata msisimko wwote kakMkuu naomba nikuulize! Kwani uume unasimama au hausimami??
Na je unapotoa hizo sperm uume ukiwa umelala huwa unasisimka au unajikuta tu umeloa??
NB: Rekebisha uandishi wako acha kukatishakatisha maneno, andika kwa urefu kama hivi nnavoandika ili ueleweke, mwandiko wako haueleweki utakosa ushauri mzuri kwa huu uandishi wako mbovu.
Bikra wa kiume labda punyeto tu ndo iwe imeni bikiriWewe ni bikra??
Sija kwelewa kakUmetumia sababu gani
Nimesha acha nina kama miaka mitatu toka nime acha ...kilikukuta kipi in box nme kutextA cha nyeto mkuu acha nyeto narudia acha yasijekukuta yaliyonikuta mm