Kutokwa na sperm uume ukiwa haujasimama

Kutokwa na sperm uume ukiwa haujasimama

Semen ni ute fulani hivi unawahi kutoka hisia zinavopanda, afu sperm ni mbegu za kurutubisha yai.

Nikupe task manka[emoji28] mfanyie mpenzi wako blow job au mfanyie mustarbation kwanza kabla ujalamba, yaani mchue na mkono wako mlaini pole pole utaona ute fulani mwembamba sana unavutika kama bui bui ndiyo semen[emoji57][emoji57][emoji57][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Duh asante kwa ufafanuzi.
Hyo task nyingine uliyonipa ngoja nikaifanyie majaribio
 
Sija wai kusex sasa iyo gono naipataje na izo dawa nili enda hospital waka wamenipa nika tumia kama round 2 lakin wap
kuna
ezthromycine na Azthromycine ulitumia zipi?
ukitumia ezythromycine kupona ni vigumu.
 
Uume morn una simama kama kawaida ila sasa nikiwa na mtto wa kike hisia n mpaka za kutafuta sana kweli sija wai fanya mapenzi .maana niliwai jaribu nika vulisha mtoto wa mtu lakin ngoma aiku simama mala ya pili nika rudia kwa mwingine ili simama mda ana ondoka geto toka apo sija wai tena kuleta binti tufanye nae mapenzi..nakuhusu sperm ktoka uwa zina toka unakua kama una isi mkojo wa mwisho mwisho ule tuna sukuma kwangu. Uki sukuma tu zina toka uisi ata msisimko wwote kak
kwahiyo huwa zinatoka mwishon pale unapomaliza kukojoa??
 
[emoji1][emoji3]Nimemla kimasihara uyo...Nipo Dar man
Maana kuna kademu ako nimeona nikapige chini yaani kipo kama huyo wako hivo hivo mzee daaaah, hata nikikupa namba unaweza kukila ni wewe tu na vocal zako, nahisi wahuni watapiga sana, nilitaka nikafanye mke ila kanajiona much know hataki kusikiliza hili wala lile.

Nimemuonea huruma kama kaka ila hakaoni hilo unakiambia kitu kinaingia kushoto kinatokea kulia, yaani huyo mtoto haambiliki kabisa namuonea huruma mama yake.
Kitoto kinachezea miboooooooolo ya baba zake godamiti😭😭😭😭😭
 
Mkuu vaa boxer nyeupe utajua tu kwani uume unauma ukikojoa haja ndogo.
 
Nakushauri uchome sindano za powercef, nenda kwa daktari.
 
Bao lina-consist semen na sperms. Mtu anamwaga semen ambayo ndan yake ndo kuna hizo sperms
What is the difference between semen and sperms ( 5) marks
Sperm is a part of SEMEN.
Ile thick whitish fluid ndo semen yenyewe na ndan yake imebeba sperms
 
Semen ni ute fulani hivi unawahi kutoka hisia zinavopanda, afu sperm ni mbegu za kurutubisha yai.

Nikupe task manka[emoji28] mfanyie mpenzi wako blow job au mfanyie mustarbation kwanza kabla ujalamba, yaani mchue na mkono wako mlaini pole pole utaona ute fulani mwembamba sana unavutika kama bui bui ndiyo semen[emoji57][emoji57][emoji57][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Hiyo sio precum mzee.

Semen ni mchanganyiko wa Ute na semen
 
Nyie hamjamuelewa mtoa mada sababu kati yenu hamna aliyewahi kupata madhara ya nyeto

Huyo kaacha nyeto halafu hafanyi mapenzi kwahiyo sperm zimejaa sana zinaanza kutoka zenyewe kdg kdg akikojoa,akipata haja kubwa au akipata hisia za kimapenzi,ndotoni...

Dawa yake kwanza ni kuacha kuwaza ngono kabisa kwa mda km wa miezi 3 yaani uume wako kaZi yake inakuwa ni kukojoa tu uache usinyae kbs..

Tatizo lako limeanzia kwenye uoga kama ilivyo wapiga nyeto wengi performance anxiety.Tiba yake sasa ni kupata demu anayekupenda ambaye yupo Too available for sex halafu akija geto hakikisha iwe asubuh km saa 4 hivi piga nae story,cheza nae miziki,mshiko mkono,muangalie machoni kifupi mzoeeee tu tena sana ila ikifika kumi hivi ndo uanZe kupiga show na usiwaze kumridhisha mtu wala bao litatoka saa ngapi just enjoy tu likija haya lisipokuja haya.Fanya hivyo mfululizo kwa week aje ghetto hata mara 5 hadi 6 hivi ndani ya mwezi.Utaona mabadiliko

Uoga ukitoka tatizo lako linaisha kwa 50% hizo 50% kula vzr fanya mazoezi usiwaze udhaifu wako.

Uoga ukipungua cha kufanya kila siku ya game hakikisha unafanya jogging au kuruka kamba dk 30 hivi yaani akija ghetto akukute una uchovu wa mazoezi utashangaa bao linachelewa...

Achana na kuangalia story Za kukutia uoga,Sex ni kitu halisi tu ACHA kuwaza kufanya mapenzi,wewe uwe unafanya mapenzi.

Anza kuwazoea wanawake washike mikono,wakumbatie wadada.Embrace feminine energy,dont resist.

Mwanamke ndo atakayekuponya dogo ila lazima awe anakupenda sana kiasi kwamba haoni madhaifu yako halafu awe anapatikana mda wote,
 
Back
Top Bottom