Kutokwa na sperm uume ukiwa haujasimama

Kutokwa na sperm uume ukiwa haujasimama

scatter boy

Member
Joined
Mar 31, 2021
Posts
68
Reaction score
23
Sorry mimi ni kijana wa kiume mwenyewe umri wa Miaka 20 sasa uongo mbaya nimepiga sana punyeto kwa sasa nimeacha ila korodani zangu uwa zina uma sana na hata milija ya korodani.

Sometime ina vimba sana na kupelekea sperm kutoka ikiwa uume uja simama please mwenyew maoni au msaada please[emoji120][emoji120]
 
Sorry mimi ni kijana wa kiume mwenyewe umri wa Miaka 20 sasa uongo mbaya nimepiga san punyeto kwa sasa nime acha ila korodani zangu uwa zina uma sana na ata milija ya korodan . Sometime ina vimba sana na kupelekea sperm kutoka ikiwa uume uja simama .please mwenyew maoni au msaada please[emoji120][emoji120]

Hizo ni semen, sio sperms..
sperms zinatoka pale unapiga mshindo (ejaculate)

On a serious note, usiache nyeto.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kijana wa miaka 20,,umepiga nyeto sana na sasa umeacha..

Wenzio wanagonga punyeto mwaka wa 30 huu ,,

Na hakuna madhara yeyote.

Wewe umebalehe lini na umepiga nyeto lini na umestaafu lini?

Hii ni chai,,tena chai ya tangawizi.

Au kama ni kweli basi una magonjwa mengine ya zinaa.
 
Duh .. ILO SIO BAO MKUU . Ni SEMEN

2897534_PicsArt_08-24-08.01.01.jpg
Kaka semen ina toka uume ukiwa uja simama afu inakua nzito san......!!!????
 
Kijana wa miaka 20,,umepiga nyeto sana na sasa umeacha..

Wenzio wanagonga punyeto mwaka wa 30 huu ,,

Na hakuna madhara yeyote.

Wewe umebalehe lini na umepiga nyeto lini na umestaafu lini?

Hii ni chai,,tena chai ya tangawizi.

Au kama ni kweli basi una magonjwa mengine ya zinaa.
Magonjwa ya zinaa una pata ukiwa ume Jamaica mimi boss wija wai kabisa ni nyeto 2 na nina kama miaka 3 ssa nimeiacha
 
Mkuu acha jitibu magonjwa kama UTI nk wala nyeto haina athari kiasi hicho
 
Back
Top Bottom