Kutokusex nae on our first dating, kumemfanya anikimbie!

Kutokusex nae on our first dating, kumemfanya anikimbie!

Hahaha, ungemuuliza bwana. Afu usome alama za mwili wake. Kuna mshkaji mmoja huwa ananipa raha sana, point blank anauliza 'do you want to have sex with me ama tukae tu mahali tunywe kahawa?' ukimjibu kahawa, anasema im wondering why you are not tempted yet.

hahahhahahha lol
 
Nidhamu alitakiwa aiweke kwa kumbanjua kikweli kweli
kwisha habari yake ningekuwa mie ningemsema jongoo halipandi mtungi

mamaaaa naona unafungua tu... jogoo hawezi panda mtungi loh angeshika na mkono aone kama ipo
 
what do u mean, inamaana she wanted it on our first meeting. i think that could oppose my goal in our relationship. i wanted her as my permanent woman, hence patience is among the sign i had to show her for this!

she is not of the kind you imagined........
 
Inawezekana swala sio kudoo

Labda alikuja kwako akitaka kujua kukoje ili akuthathmini

Au alikuwa anakusoma tabia ukoje

Je lugha yako kwake ilikuwaje

Command zako

Tabia gani ulionyesha kwake

Au hakuwa na feelings nawe. Alikuja ili airidhishe nafsi yake afanye maamuzi

Au kuna vitu alivyoviona kwako hakuvutiwa navyo

Jikague
 
Vipi hapo juu huyo demu kuku au?

Sema umefanya vizuri sana hawakawii baadae kusema ulitaka kumbaka, nakupa heshima zote na kuonyesha kuwa hujalala uko macho tangu siku ya kwanza. Pamoja anaweza kuwa kuku(kicheche) huyo demu

Haina haja ya plan B

cc Madscientist .....
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana swala sio kudoo

Labda alikuja kwako akitaka kujua kukoje ili akuthathmini

Au alikuwa anakusoma tabia ukoje

Je lugha yako kwake ilikuwaje

Command zako

Tabia gani ulionyesha kwake

Au hakuwa na feelings nawe. Alikuja ili airidhishe nafsi yake afanye maamuzi

Au kuna vitu alivyoviona kwako hakuvutiwa navyo

Jikague

Jamaa ameambiwa hana effect....
Labda kama umeamua kumpa moyo tu..
 
Mapenzi ni ugonjwa mbaya zaidi ya UKIMWI
 
Rudisha hadhi ya kiume mrudishe tena hapo mjengoni alafu mpe alichotaka hii kumuacha ndio hawa wanarudi tena hapa jukwaani kuongea kua wanaume wengi ni vibisa kumbe utu wetu.
 
Huna effect? hayo matusi sasa huyo dada hajielewi hebu piga chini mapema sana
 
Back
Top Bottom