Tunaweza kuelekeana kiumri japo tumetofautiana tu makuzi.
mkuu mwanamke anaejihamini uwezi mgegeda on your first meeting. infact atapima patience yako hapo. huyu atankimpata atakuwa wakugawa kwa kila mtu! hafu mie siyo dogo.
Vitu vingine vinafanyika kutokana na mazingira. Kwani wewe ulimwona yuko na pozi gani siku hiyo?Huyu
Mwanamke kanshangza sana, tumekuwa tukiwasiliana kwa muda wa wiki moja hivi, pasaka nikamualika kwangu Aim yangu apajue, cha ajabu alivyokuja,
nimwonyesha dalili zote kuwa mie sina haraka na kusex, na nampenda kwa dhati. Alivyoondoka mawasliano yakawa mabovu hadi leo, nimemwalika upya kanambia
sina effect. which mean alitaka tu do! kha!
Bora umezeeka aisee.
shkamoo kaka
Enzi zangu mm siku ya kwanza lazima kieleweke
ndo hapo sasa miss chagga kuna watu wamekariri!
what do u mean, inamaana she wanted it on our first meeting. i think that could oppose my goal in our relationship. i wanted her as my permanent woman, hence patience is among the sign i had to show her for this!
Tumepanic jamaa katuangusha sana afu anakuja kusema apa unadhani kina Evelyn Salt watasemaje juu yetu???🙄
Tumepanic jamaa katuangusha sana afu anakuja kusema apa unadhani kina Evelyn Salt watasemaje juu yetu???🙄
Teh nshasema ni nyuki wa mashineni kazi kuchezea unga hawaumi
miss chagga kile kikao.cha dharura cha MMU inabidi kidiscuss issue hii au vipi....watasema chipsi mayai na masterbation