Kutokusex nae on our first dating, kumemfanya anikimbie!

Kutokusex nae on our first dating, kumemfanya anikimbie!

mimi nikiingia na mwanamke getto,hususani niliye na mahusiano naye.lazma nijaribu kumgegeda akikataa bhas, akikubali napiga,akipanic na kusepa ntamuona sio muelewa wa wanaume.kwa hiyo siogopagi sana.unadhani kuwa good boy kutakufanya upate mtu anayekuelewa.u-good boy sanasana utasababisha uaibike kama hvyo au usigegede huku wenzako wanakupigia tuu.
 
mkuu mwanamke anaejihamini uwezi mgegeda on your first meeting. infact atapima patience yako hapo. huyu atankimpata atakuwa wakugawa kwa kila mtu! hafu mie siyo dogo.
Hapo umekosea sana kimsingi kugegeda ndio kipimo cha kumfanya demu awe wako heshima ya mke sio shikamoo ni kujua mambo ya msingi kwenye mahusiano kugegeda ni kimojawapo
 
Back
Top Bottom