Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,874
mmmmhhhh
Enzi zangu mm siku ya kwanza lazima kieleweke
mmmmhhhh
Huyu
Mwanamke kanshangza sana, tumekuwa tukiwasiliana kwa muda wa wiki moja hivi, pasaka nikamualika kwangu Aim yangu apajue, cha ajabu alivyokuja,
nimwonyesha dalili zote kuwa mie sina haraka na kusex, na nampenda kwa dhati. Alivyoondoka mawasliano yakawa mabovu hadi leo, nimemwalika upya kanambia
sina effect. which mean alitaka tu do! kha!
mapenzi hayana formula mkuuu.... kila mwanamke anamna yake ya kupima dume kama la kweli au vipi? kama uliona anataka kufanywa mapenzi kwa nini ulichomoa wakati alitaka kufanywa mwenzio
now whats wrong with that FACT?
Enzi zangu mm siku ya kwanza lazima kieleweke
Enzi zangu mm siku ya kwanza lazima kieleweke
Hahaha, ungemuuliza bwana. Afu usome alama za mwili wake. Kuna mshkaji mmoja huwa ananipa raha sana, point blank anauliza 'do you want to have sex with me ama tukae tu mahali tunywe kahawa?' ukimjibu kahawa, anasema im wondering why you are not tempted yet.
Acha ukimbiwe....
nyuki wa mashineni kazi kuchezea unga tu hata hauumi
Huyo dogo mwache tu akimbiwe,
Unatoka kwako na hamu walau tu mtumie ndom
Jamaa anajibaraguza, wa kazi gani huyo.
Enzi zangu mm siku ya kwanza lazima kieleweke
what do u mean, inamaana she wanted it on our first meeting. i think that could oppose my goal in our relationship. i wanted her as my permanent woman, hence patience is among the sign i had to show her for this!
Am just asking I never said it is wrong
Una maneno mazito sana
Uliona wapi nyuki wa mashineni wakati umekuta unga wa take away?
Mwache akimbiwe huyo hana lolote.