Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,392
- 96,718
ukute hata hawaijui hiyo
Wanajua kata K tu. Kuwapa mabinti haki zao wanatuachia sisi wakongwe. Wanataka tufie vifuani mwa mabinti?
ukute hata hawaijui hiyo
Wanajua kata K tu. Kuwapa mabinti haki zao wanatuachia sisi wakongwe. Wanataka tufie vifuani mwa mabinti?
Tumshukuru Mungu tumevuka salama. Eti hommie vijana wa siku hizi wenye usaidizi wa teknolojia wangezaliwa enzi zetu za SLP na kupigana ngwala vichakani si wangekuwa wanaozeshwa na bikra zao?
ha ha ha haLabda jamaa alikuwa hajanyoa mavuz.i au kavaa boxer iliyotoboka.
Kutonyoa mavuzi, au kuvaa boxer iliyotoboka hakuzuii mgegedo siku ya kwanza na mgegedo siku ya kwanza ukiwa wenye mshindo kusingemzuia binti awe demu wake wa kudumu. TRUTH.
Ndio maana mabinti wamekuja na usemi 'uzee mwisho mikumi' wanaijua vizuuri kazi yetu hommie....hivi leo ni jumangapi? Umeonana na Heaven on Earth maana alikuwa anakutafuta
Huyu
Mwanamke kanshangza sana, tumekuwa tukiwasiliana kwa muda wa wiki moja hivi, pasaka nikamualika kwangu Aim yangu apajue, cha ajabu alivyokuja,
nimwonyesha dalili zote kuwa mie sina haraka na kusex, na nampenda kwa dhati. Alivyoondoka mawasliano yakawa mabovu hadi leo, nimemwalika upya kanambia
sina effect. which mean alitaka tu do! kha!
what do u mean, inamaana she wanted it on our first meeting. i think that could oppose my goal in our relationship. i wanted her as my permanent woman, hence patience is among the sign i had to show her for this!
Huyu
Mwanamke kanshangza sana, tumekuwa tukiwasiliana kwa muda wa wiki moja hivi, pasaka nikamualika kwangu Aim yangu apajue, cha ajabu alivyokuja,
nimwonyesha dalili zote kuwa mie sina haraka na kusex, na nampenda kwa dhati. Alivyoondoka mawasliano yakawa mabovu hadi leo, nimemwalika upya kanambia
sina effect. which mean alitaka tu do! kha!
Ulichokifanya ni kitu kizuri sana na kinaweza kudumisha urafiki wenu ukawa sio wa kutenda dhambi ...Huyu
Mwanamke kanshangza sana, tumekuwa tukiwasiliana kwa muda wa wiki moja hivi, pasaka nikamualika kwangu Aim yangu apajue, cha ajabu alivyokuja,
nimwonyesha dalili zote kuwa mie sina haraka na kusex, na nampenda kwa dhati. Alivyoondoka mawasliano yakawa mabovu hadi leo, nimemwalika upya kanambia
sina effect. which mean alitaka tu do! kha!
Kuwa mwadirifu sio uboya ... alafu ngono haina sifa yoyote, ni kuukosea mwili mwako na kumkosema aliyekuumba.We nae boya kweli yani mwanamke kaingia hadi ndani kwako unaishia kumuwashia TV tu..joka la kibisa hilo kubwa ila hali ng'ati pyuuuuuuuu
alichemka sana..angepiga miti fasta on first datemapenzi hayana formula mkuuu.... kila mwanamke anamna yake ya kupima dume kama la kweli au vipi? kama uliona anataka kufanywa mapenzi kwa nini ulichomoa wakati alitaka kufanywa mwenzio