ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 8,046
- 2,931
labda kaja kivingine kwako
1.Anasema atakuwa na mawaziri 18....ila katiba ya warioba aliikataa ilipoweka limit ya namba ya mawaziri
2..anasema ataongeza uwazi na uwajibikaji wakati akiwa waziri ameratibu uundwaji wa sheria kandamizi za mitandao na sasa habari
january anasema kuunda kile ambacho anakivunja kwa sasa na hatumwamini yaan akiwa rais nchi itatawaliwa kwa usiri na kikandamizi zaidi
leo gharama za simu zimepanda mara dufu
AKIWA BUNGENI HATUKUMSIKIA AKIKEMEA UFISADI kama membe na pinda
hatutaki vijimaneno tunataka kazi ni kazi MAKONGORO
Ni muongo na mnafiki hatu danganyiki yaani ana propose sheria kandamizi kubana habar sasa akiwa rais atakuwa dictator kama idd amin hafai muongo hyo kama ma ccm wenzie