Kutoka ndani ya moyo wangu

Kutoka ndani ya moyo wangu

Mdogo wangu asante sana.....
kama wifi nimefaulu, tena kwa kiwango cha juuuuuuu saaaanaaaaaaa. kwetu mimi huwa ni kimbilio la mawifi.....
Namwomba Mungu anisaidie niwe hivyo kwa wakamwana, lol!
Tukomae tu mdogo wangu, ndo dunia ilivyo

Haka kasentensi kamwisho haaaaaka,nimeskia kamesindikizwa na echo ya mama K's voice.
Haya Dada!
 
Ha haaa haaaaa, mama K mwenyewe. Hukumbuki mimi ndo msaidizi wake?

Yaaaaani!
Nimebaki dah !nilitaka kubiiiiiisha hapa ilahako kasentensi kamenipa ile mama's petying mgongoni af huyooo chumbani kwake kujianzia novena.huku we kakuacha na hako kasentensi.
 
Yaaaaani!
Nimebaki dah !nilitaka kubiiiiiisha hapa ilahako kasentensi kamenipa ile mama's petying mgongoni af huyooo chumbani kwake kujianzia novena.huku we kakuacha na hako kasentensi.

Ha haaaa, tatizo unabishiaga kila kitu
 
upande wa mume tunapaswa kuwaheshimu sana
ila mazoea ndio tusiruhusu !!kama wana hila zao zinaishia kwa ndugu yao,na huyo
ndugu hatothubutu kukueleza chochote mradi unaheshimu ndoa
upande wa wenzetu wakikuozoea ni noumer wana choko2 balaa!!

 
upande wa mume tunapaswa kuwaheshimu sana
ila mazoea ndio tusiruhusu !!kama wana hila zao zinaishia kwa ndugu yao,na huyo
ndugu hatothubutu kukueleza chochote mradi unaheshimu ndoa
upande wa wenzetu wakikuozoea ni noumer wana choko2 balaa!!

ha haaa, kinachoniudhi kati ya yote ni kunisingizia.....
 
duh pole mwaya,wala usiwachukie
cheka nao ila mazoooo yasiwepo
kama walikuzoea,badilika, kua busy na mambo yako
washindwe pa kukuanzia,unakua serious mpaka wakuogope!!
bado hayajanikuta sana, ila watu wangu wa karibu sana wamekumbwa na hayo ya kuzushiwa na wakwe zao, huwa inaniumiza sana
 
Utanganyika na Uzanzibari.... asante kwa mada .... mi nipo njiani nimekutana nayo bila utashi wangu. Imekaa kijamii na kimapokeo zaidi.
 
Ila una amini ipo na imepotezwa kihuni
kwa sababu naamini kuna Tanzania, siamini kama kuna Tanganyika wala nchi ya Zanzibar, najua kuna mkoa wa Zanzibar. natamani sana yule wanayemuita Rais kule angejulikana kama mkuu wa mkoa
 
Kuwa tough ni one thing, hiyo haizuii kumsingizia mkeo kuwa chanzo cha mgogoro, hata kama utamtetea baadae

mmmmh, umsingizie then ndo umtetee? hata yeye mwenyewe atakushangaa. mke wangu anapenda atambuliwe, aheshimiwe mbele za ndugu zangu na ndugu watambue kuwa mke wako ndo kila kitu. mfano huwa nawaambia wazazi wangu wampigie pia mke wangu kushukuru wakati nimewapa kitu au pesa. wasinishukuru mimi tu na pia wife wanhu, hiyo inawajengea kumheshimu mke wangu. Tena ndugu zangu wakiniomba kitu huwa nawaambia ili ukipate faster ongeeni na shemeji yenu. sio kwamba siwezi kukutoa mimi binafsi ila tu ni kumpa mke wako respect kwa ndugu zako nao watatambua kuwa kwa JICHO TAI ili upate kitu mwambie mke wake!!
 
Back
Top Bottom