Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #101
Hii tabia siipendi nyumbani kwangu, hata kidogo.mmmmh, umsingizie then ndo umtetee? hata yeye mwenyewe atakushangaa. mke wangu anapenda atambuliwe, aheshimiwe mbele za ndugu zangu na ndugu watambue kuwa mke wako ndo kila kitu. mfano huwa nawaambia wazazi wangu wampigie pia mke wangu kushukuru wakati nimewapa kitu au pesa. wasinishukuru mimi tu na pia wife wanhu, hiyo inawajengea kumheshimu mke wangu. Tena ndugu zangu wakiniomba kitu huwa nawaambia ili ukipate faster ongeeni na shemeji yenu. sio kwamba siwezi kukutoa mimi binafsi ila tu ni kumpa mke wako respect kwa ndugu zako nao watatambua kuwa kwa JICHO TAI ili upate kitu mwambie mke wake!!
Akiombwa kitu na nduguze napenda yeye awe mwamuzi na ikiwezekana awape jibu papo kwa papo.
Unajua kwa kufanya hivyo unamweka mkeo kwenye wakati mgumu sana. na pia inamwongezea chuki toka kwa nduguzo. Kwa vitu ambavyo mnaweza kuwapa inakuwa haina tatizo, lakini kama hicho walichoomba hakitekelezeki, na wewe umeshawaambia wamwambie wife, wife akisema hili haliwezekani inakuwa balaa, "kaka angenipa ila lile limke lake limekataa", hapo sasa........