ellyp
Member
- Apr 12, 2015
- 43
- 170
Mwaka juzi nilikuwa na demu mmoja mlokole nilimpata kwa mbinde sana kwenye taasisi ninayofanyia kazi. Baada ya miezi miwili akaanza kunipa utelezi kwa kweli alikuwa anajituma nilikuwa napewa mzigo mpaka nikawa napata wasi wasi huyu atabeba mimba muda siyo mrefu.
Ndani ya miezi mitatu akaanza kutaka nijue ndugu zake na akaanza kudai ndoa,kivumbi kilitokea pale mdogo wake alipokuwa anachumbiwa halafu mimi hata kwao sijafika nakula tu utelezi muhuni nikawa namcheki tu si akawaambia ndugu zake kwenye kikao cha familia kuwa kapata mchumba na angependa mdogo wake asogezesogeze muda mbele ili mimi na yeye tuanze kufunga ndoa kwanza halafu ndio ifuate ya mdogo wake.
Baada ya hapo alikuja geto akaniambia mpango wake na tayari ameshawaambia wazazi na familia yake kwa ujumla nikaamua kujitoa kwenye ule uhusiano maana alikuwa ananipeleka kwa kasi sana aisee nilipata tabu alinishtaki hadi kwa maafisa waandamizi pale kazini kuwa nimemchezea nataka kuharibu maisha yake,ile hali ilinishushia sana heshima nikajiuliza kwani kumuoa ni lazima nikazidi kukaza uzi mpaka ule uhusiano ukafa kabisa saa hizi ni mwendo wa kununiana tu ila kuna wakati natamani kumshika mkono nikampige tena pipe kimasihara maana anajua kukitendea haki kitanda.