Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

Umenigusa sana na hii mada.
Nimepata mwanachuo kutoka chuo x mwaka wa 3, anajua nineoa but as long as ni muslim kwake sio shida. Mtoto kaniganda hadi kero, na maswali utanioa? Alivyoona sieleweki kabeba mimba kabisa, nimejaribu kumshawishi atoe lakini anadai akitoa ntamwacha. Nimeamua kutulia tuu amalize field arudi chuo azae
Mimba asitoe asee, ila kumuoa ni maamuzi yako asikulazimishe
 
Lakini pia haimaanishi wanawake wote wanaochelewa kuolewa mpaka kufikia 30s kuwa wametumika sana au walikua wanaringa sana...Kuna wanawake ambao ni wacha Mungu anaelewa zinaa ni dhambi unakuta watu waliokua wanamfata sio sahihi akaamua kusubiri apate mtu sahihi....Kuna wanawake wengine ni warembo sana kiasi kwamba unakuta wanaume wanaogopa kumtongoza sababu ya uzuri wake ......mwingine amesoma sana ana masters ...mwingine ameajiriwa taasis kubwa analipwa mshahara mkubwa ...Hawa wanawake wengi wanagongwa 30s bila kuolewa
Sigh! Are you serious? Wanawake 'wacha Mungu' wenye miaka zaidi 30? Wanawake warembo sana zaidi ya miaka 30? Wanawake wasomi sana zaidi ya miaka 30? Ameajiriwa taasisi kubwa analipwa mshahara mkubwa?

Jombaa, Hao wanawake wote uliowataja hapo juu ndio wanaongoza kwa kupigwa pipe. Tena sikushauri kabisa kuoa mwanamke mwenye miaka zaidi ya 25 regardless ya umri ulionao hata kama una miaka 99. Any age above that anakuja na high mileage (courtesy of her last 7 boyfriends), emotional baggage, na social pressure.
 
Kuna mwamba humu analilia mwanamke wa hivi lakini hampati, anaitwa jjs2017 ..njoo huku bwana uone wenzio wanavyoringia kupendwa...
Nimefatilia sana huu uzi nikagundua "KUOA NI JAMBO LA KIPUUZI""

Acha niendelee na hawa madanga wangu maisha ya ende..

Unaweza lazimisha kutafuta mwanamke uoe ukaja jutia maisha..
Kama ni mke atakujaga tuu asipo kuja wazazi ni sameheni bure mimi nita deal na vitoto miaka 18- 25 nikuvitafuna tuu nipooze machungu ya kusaka wife na kutaka kujidhuru.

Bora niwe mzinzi tuu mapenzi siyo kitu serious sana
 
Mke atakuja mzee usiwaze.
Usiyachukulie mapenz serious sana tengeneza life mkuu.
 
Wanaokua na presha za kuolewa ukichunguza kwa umakini utagundua ni umri umeenda halafu maEx wake karibia wote wameoa au wana familia zinazoeleweka.

Kwahiyo anatamani ndoa ya fasta fasta ili awaringishie mabwana zake na mashosti kua hajachuja ingawa walimuona yupo fungu la kukosa.

Hawa wa namna hii ndio wakishaizoea ndoa wanaanza kujirudisha kwa maEx taratibu kwa chatting za wizi wizi na mwisho wa siku wanarudisha mapenzi katika machaka yao ya zamani. Inakua kama umeoa mke asiyekua wako tu.
Yaani kuna mmoja alikuwa stress wenzie wameolewa akaforce ndani ya miezi mitatu niwe nimeshamuoa pia anataka harusi awafunike Rafiki zake wote na anunuliwe Pete ya Tanzanite..duuh nkapiga chini mapema...
 
Hii kitu ni balaa sana,
Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho,

Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?" n.k. Hata kama ulikua kuna mambo unaweka sawa kwanza ili umuoe unaweza kughairi tu.

Kunyimwa penzi kwa kuona kama unamchezea ni jambo la kawaida. Ukipewa basi inabidi ujihadhari, usipotegeshewa mimba basi utabambikiwa ilimradi apate cha kukushikilia.

Mbaya zaidi unakuta alishatumika balaa, speedmeter inasoma kilometa za kutosha.
Kwa hili wanawake mbadilike mjue tu ukiweka presha kubwa ya kupata kitu ndio unakikosa kabisa.
Kuulizwa au kuambiwa haupo serious hapa mkuu umenena 100% ni shida tupu. Wanataka mambo yaende wanavyowaza wao bila kufikiria kuwa muoaji ana plan zake pia
 
Nimefatilia sana huu uzi nikagundua "KUOA NI JAMBO LA KIPUUZI""

Acha niendelee na hawa madanga wangu maisha ya ende..

Unaweza lazimisha kutafuta mwanamke uoe ukaja jutia maisha..
Kama ni mke atakujaga tuu asipo kuja wazazi ni sameheni bure mimi nita deal na vitoto miaka 18- 25 nikuvitafuna tuu nipooze machungu ya kusaka wife na kutaka kujidhuru.

Bora niwe mzinzi tuu mapenzi siyo kitu serious sana
hahahahaha nashindwa hata nikomenti nini, yani sikutarajia jibu la namna hii mkuu
 
Yaani kuna mmoja alikuwa stress wenzie wameolewa akaforce ndani ya miezi mitatu niwe nimeshamuoa pia anataka harusi awafunike Rafiki zake wote na anunuliwe Pete ya Tanzanite..duuh nkapiga chini mapema...
Huyo ungeoa bomu, lingelipukia ndani likuvuruge mpaka kichwa
 
Ukifanya uchaguzi utagundua mwanamke ndie anachagua ni mwanaume gani azae nae. Hakunaga mwanaume anaeamua nani ambebee ujauzito.

Mwanamke anaweza kataa beba ujauzito wa mwanaume tajiri au mwenye uwezo mzuri wa kutunza familia kwa kumeza vidonge vya kumzuia kushika ujauzito hata miaka 5 ila akamuachia bodaboda ampe ujauzito na wakazaa bila shida kisha akaja bambikia ujauzito yule aliyekataa kushika ujauzito wake.

Unatakiwa uelewe wanawake hawapendi accountability ya matendo yao popote pale duniani na ndio maana mifumo ya kuwadhibiti na kuwazuia kujiamulia wanachotaka ilikuwapo siku za kihistoria.

Leo jamii imewapa uhuru wa maamuzi ona madhara yake kila kitu kinafeli.

Sasa ninyi wanaume mnaokuja watetea as if ni watoto wadogo ndio mnawafelisha mabinti wanaojitunza kwa kuona haina haja ya kujitunza kama ambao wamepuyanga na maisha jamii inawatetea.

Wacha sisi wanaume tusiotaka ujinga tushuke nao hadi kwenye misingi. Acheni kutetea upuuzi.
Mwamba unatema madini nachukua Notes kabisa.
 
Nani kasema mwanaume ndio anatangaza ndoa?
Kuanzia kwenye dini, sheria na jamii ndoa ni patano la watu wawili waliopendana na kupatana kutaka kuishi pamoja. Mmoja hawezi na hapaswi kumlamisha mwingine.

Kila mahusiano lazima yawe na malengo (objectives) na hitimisho (conclusion). Sasa binti anayejitambua (haijarishi umri wake na tabia zake) atataka kuhoji malengo ya huo uhusiano na hitimisho lake ni nini mapema sana. Sasa wewe mwanaume ukiwa ndio wale akili ndogo na fupi za kutoka kubalehe na ndio unajifunza uhuni wa kingono ni lazima utamchukia na kumuona huyo binti sio, kumbe shida ni upeo wako mdogo wa kimakuzi.
Endelea.kuwa nice, fala.kabisa
 
Sigh! Are you serious? Wanawake 'wacha Mungu' wenye miaka zaidi 30? Wanawake warembo sana zaidi ya miaka 30? Wanawake wasomi sana zaidi ya miaka 30? Ameajiriwa taasisi kubwa analipwa mshahara mkubwa?

Jombaa, Hao wanawake wote uliowataja hapo juu ndio wanaongoza kwa kupigwa pipe. Tena sikushauri kabisa kuoa mwanamke mwenye miaka zaidi ya 25 regardless ya umri ulionao hata kama una miaka 99. Any age above that anakuja na high mileage (courtesy of her last 7 boyfriends), emotional baggage, na social pressure.
Dunia hii ukisema usikilize kila ambacho unakiona mitandaoni unaweza kujikuta umekuwa mtu hatari,

Sometimes nyuzi kama hizi zinanifanya nitafakari upya juu ya hawa wanawake, umefanya research gani kugundua hayo yote mkuu?

Wapo wanawake wa juu ya 30 wametulia sana tena sana, na mimi binafsi from experience nimeoa mwanamke wa juu ya 30 kiukweli ni mwanamke haswa na alijitunza mno, na hayo mambo ya pressure za ndoa mimi sikuyaona kabisa,

Ndoa ni baraka na bahati, kila mwanamke ameandikiwa wakati wake na Mungu, akifikisha 30, 40,... sio uamue tu kwa utashi wako kumuweka kwenye kundi la wanawake wasiofaa kuolewa, mara waliotumika sana, n.k
Kutumika ni tabia ya mwanamke yeyote haijalishi umri, mbona vitoto vya 17,18....25 tumepiga sana tena unakuta kitoto kidogo ila kule ndani ni bwawa kabisa.

Tatizo tunaangalia hawa viruka njia wa mjini halafu tunawatumia kama mfano kwa wanawake wote, tunakosea sana jamani, Tujaribu kuwa waungwana, tuvae viatu vyao kama binaadamu,
Wakati mwingine hizo presha ni kwasababu ya presha wanazokutana nazo kwenye cycle zao, home, kitaa, n.k
Unaweza kuacha mke mzuri kwa mitazamo hii ukaenda kuoa nyoka majuto baadae,

Kaa na waliooa hao 18....24 wakwambie kama ndoa zao zina amani na furaha kuliko hao 30.....,
Ndoa ni ndoa tu, kama ni ndoano ni ndoano tu haijalishi umemuoa mwenye umri gani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom