Kutoka Mlimani City: Mkutano wa Makandarasi Tanzania 2011!

Tumia kampuni ya kizalendo kwa shughuli yako yoyote inahusu umeme ni YECCO (T) LTD pekee ndiyo jibu lako

Fika ktk ofisi zetu zilizopo Samora street posta! 35Plot 32bloCont 0715 865544/ 0755 865544,email yeccotltd@yahoo.com
na wewe acha kutuyeyusha

sakata la rushwa NSSF Udom limeishia wapi?

ushahidi ulioletwa leo unasemaje?

Duh kweli wewe Yeccoltd ni kiboko!
Umesomea uhandisi na chuo cha uandishi wa habari nii?
Mimi nilikuwepo on all accounts na ulichoripoti ndicho kilichosemwa
Nakutunuku shahada ya uandishi bora wa matukio ya kikandarasi
(Huku niliko naimba Tanzania,Tanzania...Nakupenda kwa moyo wote..)

na wewe acha kutuyeyusha

sakata la rushwa NSSF Udom limeishia wapi?

ushahidi ulioletwa leo unasemaje?

Kama ulikuwa unafatilia kila ninachoripoti bila sha hutaumiza kichwa!

NSSF kupita Eng Mataka wameingia mitini!
Hivi ninavyoandika ni kuwa hata vyeti vya ushiriki wameviacha hapohapo, kwa mtu anayetaka kujiridhisha juu ya hilo kesho aende crb pale pamba house atavikuta vyeti vya nssf zaidi ya vinne!

Kimsingi mleta tuhuma anaoneka kama mkweli katka sakata hili kwani amedai mbele ya wajumbe kuwa anao ushahidi wa kutosha na yupo tayari kufa juu ya hili!

Wajumbe wote walikuwa na hamu ya kuuona ushahidi wa bw Mataka lakini ndiyo hivyo tena!

Back
Top Bottom