Hata ingekuwa ni shilling 10,000= mimi sitoi, yaani nilipe pesa kuhudhuria mkutano? huu ni upumbavu. Ingekuwa ni Training ningeelewa, ok sasa naomba tupe orodha ya waliohudhuria na waliochangia tuanze kukokotowa mahesabu hapa tuone nchi hii ilivyojaa ufisadi kila eneo.

Sio kweli tumelipia 100,000/ tu!

Hata ingekuwa ni shilling 10,000= mimi sitoi, yaani nilipe pesa kuhudhuria mkutano? huu ni upumbavu. Ingekuwa ni Training ningeelewa, ok sasa naomba tupe orodha ya waliohudhuria na waliochangia tuanze kukokotowa mahesabu hapa tuone nchi hii ilivyojaa ufisadi kila eneo.

Kumbe ndio maana na Ruge amepewa shavu na THT yake ili kuhalalisha ulaji! am tired with this country.

Hapa sasa naanza kupata picha inaonekana hata kule kufuturisha watu ikulu alikokuwa anafanya Rais kwa mapenzi mema yawezekana ulikuwa ni mradi wa mtu, msishangae kusikia kwamba futari iliigharimu ikulu billioni 50.
Kumbe ndio maana ma Land cruiser V8 yana soko sana Tanzania!........, kumbe unaweza kuwaingiza king wajinga 300 ukanunuwa hilo gari kwa siku moja tu! du kweli kuna watu wanakula kwa uraini nadhani kazi ngumu kwao ni kunyanyuwa glasi ya bia tu.

Ni makandarasi zaidi ya 3000!!
Hajakosea ni kweli na yuko sahihi kwa 100% wewe unaonaje 100,000 mara 300 huoni ni hesabu ndefu hiyo? ana haki ya kusema hivyo.Anasema wanaoichukia ccm wanawivu tu!
Makandarasi waliofutwa ni 2800 tangu bodi hii ianzishwe mwaka 1997!