Kutoka kwenye maktaba ya jamii 1990 kigamboni harusini

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
486807_361138300652467_205655136_n.jpg

931168_361138367319127_58774099_n.jpg

934711_361138387319125_1151486980_n.jpg

HII NGUNA ITAFIKA KWELI HUKU Mkuu Boflo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu

Hii picha yako ina malengo mabaya sana ya kuleta ubaguzi na UDINI!..hapa kuna dini unayoilenga hasa kwa kuzingatia suala la aina ya mkao, ubwabwa na ndizi!...ha ha haa!

By the way, miaka ya 90 yeboyebo hazikuwepo...sijui una maelezo gani.
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa walianza na NYAMA kwanza?hapa sizioni eti

Basi kuna siku niliyokaribishwa Tandale kwa Ali Maua,na ninatokea Mbezi Beach,wale vijana wakasema hebu wacha tukakae na huyu Ustaadh sababu anaonekana hawezi kula sana ila we....walikoma

Last edited by a moderator:
Mkuu PakaJimmy kwa heshima na taadhima nikuombe u hariri post yako isihusiane na dini lest you be judged to be provocative on religious grounds. Kuna watu naamini hawatakuwa pleased na mawazo yako kitu ambacho nadhani haikuwa nia ya maalim MziziMkavu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu

Hii picha yako ina malengo mabaya sana ya kuleta ubaguzi na UDINI!..hapa kuna dini unayoilenga hasa kwa kuzingatia suala la aina ya mkao, ubwabwa na ndizi!...ha ha haa!

By the way, miaka ya 90 yeboyebo hazikuwepo...sijui una maelezo gani.
Mkuu PakaJimmy katika kula sherehe ya harusi hakuna mambo ya dini hapo kuna mkao wa kula tu. Na wengi hapo ni wageni toka mjini Arusha ndugu zako wa ki Arusha ndio wanaongojea kula hapo wa-Arausha kwa kupenda kula ahhh wacha wee.

Mkuu PakaJimmy kwa heshima na taadhima nikuombe u hariri post yako isihusiane na dini lest you be judged to be provocative on religious grounds. Kuna watu naamini hawatakuwa pleased na mawazo yako kitu ambacho nadhani haikuwa nia ya maalim MziziMkavu.
Mkuu Baba V Mkuu.@PakaJimmy Uzee wake unakuja vibaya yeye fikira zake ni kwenye U-Dini tu hakuna anachokifikiria Mzee PakaJimmy zaidi ya U-Dini anazeeka vibaya mkuu PakaJimmy
 
Huyo dogo picha ya mwisho anaconsider kubadili position. Manake mpira haufiki huku kabisa lol.
Hapo sinia likiwekwa chini mifinyo miwili kwishney hahaha. Yaani nimecheka kama chizi.
 
Mkuu MziziMkavu

Hii picha yako ina malengo mabaya sana ya kuleta ubaguzi na UDINI!..hapa kuna dini unayoilenga hasa kwa kuzingatia suala la aina ya mkao, ubwabwa na ndizi!...ha ha haa!

By the way, miaka ya 90 yeboyebo hazikuwepo...sijui una maelezo gani.
Kwani hao wa dini nyingine hawali ubwabwa au chakula kingine?kula ni kula tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu PakaJimmy kwa heshima na taadhima nikuombe u hariri post yako isihusiane na dini lest you be judged to be provocative on religious grounds. Kuna watu naamini hawatakuwa pleased na mawazo yako kitu ambacho nadhani haikuwa nia ya maalim MziziMkavu.
Mheshimika Baba V
Usiogope, mimi na MziziMkavu ni watani wa jadi!...what i said ni totally joking, na ndiyo maana mwishoni nimecheka!...
 
Wakereketwa:- Wala msishtuke Hiyo ni " Baraka " Yaani mwnye shughuli hakuchagua mzee wala vijana/ hakuchagua Muislaam wala mkiristo alichofanya ni kuKIRIMU jamii hapo hata mpita njia alikirimiwa.... !! Wenzangu wanduguuEeee
kutoa na kukirimu inahitaji MOYO na upendo siyo lazima uwe tajiri au kigogo. Ona watu vipi walvyo pendeza na kupigia goti.
" kweli wakuu tunahitaji TIME2TIMU kuwa tunakumbuka wandugu wenzetu kula nao pamoja nasi tufurahi nao msiwe wachoyo" Afu Fooh eti kwa cardi kuingia !!
 
Huyo dogo picha ya mwisho anaconsider kubadili position. Manake mpira haufiki huku kabisa lol.
Hapo sinia likiwekwa chini mifinyo miwili kwishney hahaha. Yaani nimecheka kama chizi.

Halafu hapo ole wako uonekane unahangaika na nyama tu.
Mkono/kiganja kitakamatwa halafu kitakung'utwa kupukutisha punje za wali, halafu kitalambwa, baadae kitasuguliwa mavumbini....wakishamaliza hivyo wanakuaambia ujikate.
 
Back
Top Bottom