kutoka kimapenzi na member wa JF

kutoka kimapenzi na member wa JF

Ligi zenyewe za kugombea majina, siku ya kidate unajakuta bonge la
serengeti boi au unakutana na mmama mwenzio, Loh, mie nakaa kando kwanza.

Ningeshangaa, unavyopenda ligi weewe

Hata ukizidiwa upo tu, ila hata mie napenda ligi sana
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahaha! Nimepata ujumbe ila nimefuliaje? Leo mapede full mgomo lol. Kesho makutano nna michapo bado kidogo itanipalia.

hahahaha!!! mie ndio maana nimekutafta huku siku nzima. lol!!!
unanipa hamu ya michapo..... natamani nikaadjust mishale ya saa isome sa tisa usiku sahv. lol
 
hahahaha!!! mie ndio maana nimekutafta huku siku nzima. lol!!!
unanipa hamu ya michapo..... natamani nikaadjust mishale ya saa isome sa tisa usiku sahv. lol
Hahahahahaha! Nnayo mingi lol, au uje ulale huku leo nikusimlie usiku kucha teh teh teh! Itabidi kesho tuwahi makutano lol. Afta breki fasti tu !
 
Hahahahahaha! Nnayo mingi lol, au uje ulale huku leo nikusimlie usiku kucha teh teh teh! Itabidi kesho tuwahi makutano lol. Afta breki fasti tu !

hahahahaha!!!! mie ntafika makutano kabla sijaamka.... ningekuja kulala huko ila utanibana maana mwili nyumba.
 
Unajikuta unakutana na limama miaka 35 halafu mi mi 20 duh
 
We jilipue tu ila jiandae kuja kusomeka jamvini!
Angalizo: Sio wote wako hivyo lakini!
 
Back
Top Bottom