TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,211
- 13,051
jilipue....
Ila si hatumo....
Kwani si mnatoka kimapenzi nyie? Hebu mpeni uzoefu mwenzenu huyu,, alaaa!!
jilipue....
Ila si hatumo....
Kwani si mnatoka kimapenzi nyie? Hebu mpeni uzoefu mwenzenu huyu,, alaaa!!
Hata mm nahis itakuwa poa saaaana,Vp tunaweza kujaribu?...
Kwani si mnatoka kimapenzi nyie? Hebu mpeni uzoefu mwenzenu huyu,, alaaa!!
Faida:
1. Utakuwa unaitwa Hani humu Jeiefu.
Hasara:
1. Ukipigwa kibuti Jf nzima itajua (of koz ni haki yetu kujuzwa)
2. Utashindwa kuchovya chovya manake atang'ang'ania kujua Paswedi yako ya JF
3. Vijidemu vya huku vinajifanya vina ushirikiano, ukishakuwa na mmoja sahau kuhusu kulamba asali kwingine.
4. Ukimuuzi tu utakutana na picha ya kibamia chako kule Jf photos
5. Wakware ni wengi humu Jf, hasa vibabu. Jiandae kuvumilia mitongozo kutoka kwa hivi vibabu kwenda kwa Mpenzio.
6. Hakikisha umemuona kabla hujatangaza uchumba, usije kuta unachati na Nyani Ngabu.
7. **********nitarejea..................................
Hahahaha! Like ! Like ! Like !Faida:

Nipe hela thatha lolmnahali nakupendea....ni pale unapogundua wakati sitaki kuongea kiMongolia.........
Hahahaha! Like ! Like ! Like !
:confused2::mod:
vailet india papa india mike alpha mike bravo oscar.....?
Hujambo Kaizer ?
umenikumbusha mbali sana na hizi Charlie Oscar Delta Echo Sierra........ngoja nijikumbushie nilishaanza kuzisahau ati!vailet india papa india mike alpha mike bravo oscar.....?
Sijambo sweetlady naomba ufafanuzi wa mambo mawili matatu hapa
1.Hii sredi inahusu nini
2.Maana ya Like yako hapo juu
3.Maslahi yako binafsi kama sweetlady kwenye hii sredi
Habari hizi ziwafikie Arushaone, Lily Flower, Mamndenyi, Mamzalendo, Erickb52, Preta, LiverpoolFC, Filipo, marejesho, pakajimy, Dark City na Blaki woman.