kutoka kimapenzi na member wa JF

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,040
2,000
Nafikiria kufanya hivyo
Waliowahi hebu nipeni uzuri wake na ubaya wake
 

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,040
2,000
Ubaya wake mkigombana tu anakuja kuweka uzi chit chat!Uzuri wake atakuwa mtaalam wa malavidavi manake atakuwa anaenda kucopy jukwaa la kikubwa then anakuja kupestia kwako!

Wee unafikiri haya ya chit chat yanaishia humu humu.? Watu wanachakachuana mwanzo mwisho himu
 

Kijiji Balaa

Member
Nov 29, 2012
47
0
Ubaya wa kutaka kutembea demu wa mtandao ni huu,

Kwanza unaweza usilidhike na kiwango chake maana hamuonani,

Pili kibuti nje nje na ukipigwa kibuti jua song kama mzee yusuph anavyofanya itakuhusu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom