Kutoka Kikao cha UKAWA

Kutoka Kikao cha UKAWA

Kazi kwelikweli, kwahio unadhani tunaweza tegemea mgombea urais atoke nje ya CDM? Haya bwana ila wazalendo hawafi moyo na kusambaza uzalendo

Akitoka CHADEMA sawa,akitoka NCCR au CUF yote sawa,cha msingi atoke UKAWA. Bora asiwe A khamnei.
 
vip AYATWALAAH zana za kilimo anaetaka kuungana na ukawa? wakat anasema wao wana uelekeo ya ujamaa? why asiungane na ccm wote wna sera za kijamaa wakat UKAWA wote wana sera za kibepari?

CUF ni walibelari....siasa zao ni mrengo wa kati....CDM ni mrengo wa kati kulia (Mabepari wenye msimamo usio Mkali) ACT-wazalendo ni demokrasia wajamaa na siasa zao ni mrengo wa kati kushoto.....CCM wao ni wajamaa hasa wa mrengo wa kushoto kinadharia ( mioyoni mwao ni mabepari kabisa mrengo wa kulia kabisa). Itikadi ya NCCR na NLD sizifahamu. Nawauliza mashabiki wa vyama wanapenda vyama vyao kwa misingi ipi? Itikadi au watu?
 
Ndugu ukawa hakuwa Jana NCCR wametoa kauli ya kuomba kijiondoa kwenye ukawa, Cuf wakaleta vigezo kuwa chama kitakacho pata majimbo Mengi kisitoe mgombea urais wala waziri mkuu, kigezo hiki kinalenga kuizuia Chadema ambayo ndiyo

machuseeee!
 
E fm wametangaza sa11 hii kuwa nccr wametoka mbatia katoka kwenye kikao tunaomba uhakika
 
Mkuu sina sababu ya kupiga kampeni za Udini ni mfano niliutumia tu kukufahamisha wewe mwenye Udini pengine itakuingia vizuri maana ulikuwa na sababu zako za kumwita Zitto Ayatola.

hivyo mngetumia akili japo kidogo tu .

Unajua wewe umekuwa unaongea tuuu bila kujielewa unasema nini....Siasa za Zito umeziiingiza hapa wewe...alafu leo unauliza umeyasema wapi hayo....nikakushauri kama unampenda sana huyo jamaa nenda ukalale nae

Eti "mngetumia akili japo kidogo tu"....man who are you? who are you? kujiona wewe ndie una akili kuliko watu wote? do u think kwa dharau zako hizi za kipuuuzi ni kitu kipi cha ziada unachoweza kusema watu wakakuelewa.

Wewe kwa calliber yako you belong to that class.....And wewe ni mtu wa kubishaaa tu

Nimekuuliza swali...hujajibu...Umekomaa tuna tuna,nimekuuliza UKAWA wametoa kauli yoyote formal ya hayo mambo? au ni thread ya yericko ndio wewe umejumuisha kila kitu.
 
Kwa hiyo lengo la UKAWA kusema UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA wana maana gani maana nilichosema mnakikataa sasa wewe nambie mlikuwa na maana gani?

Ukawa wanataka Serikali TATU,Moja ya Tanganyika,Moja ya Zanzibar na nyingine ya Muungano wa Tanzania.Sawasawa na Mapendekezo ya Tume ya Jaji Warioba iliyokusanya maoni ya Watanzania.Haya mambo ya Serikali Mbili hayaeleweki Zanzibar wala Tanganyika.Haieleweki ni kwa vipi Zanzibar iwe na Rais ilhali Tanganyika isiwe naye.Haieleweki ni kwa vipi Rais wa Muungano wa Tanzania awe na Mamlaka makubwa Tanganyika kuliko Zanzibar.Wananchi wanaona huu Muungano ni wa Kisanii zaidi kuliko uhalisia.
 
Unajua wewe umekuwa unaongea tuuu bila kujielewa unasema nini....Siasa za Zito umeziiingiza hapa wewe...alafu leo unauliza umeyasema wapi hayo....nikakushauri kama unampenda sana huyo jamaa nenda ukalale nae

Eti "mngetumia akili japo kidogo tu"....man who are you? who are you? kujiona wewe ndie una akili kuliko watu wote? do u think kwa dharau zako hizi za kipuuuzi ni kitu kipi cha ziada unachoweza kusema watu wakakuelewa.

Wewe kwa calliber yako you belong to that class.....And wewe ni mtu wa kubishaaa tu

Nimekuuliza swali...hujajibu...Umekomaa tuna tuna,nimekuuliza UKAWA wametoa kauli yoyote formal ya hayo mambo? au ni thread ya yericko ndio wewe umejumuisha kila kitu.
Maswala ya mimi kumpenda Zitto hadi nikalale naye unayaona mazuri sana na matamu, wengine wasiseme lolote juu yako wewe. Alaa unapofungua milango anaruhusu mambo haya na wala mimi siandiki kitu kama hujaelekea kuacha hoja unanifuata mimi. Hakuna hoja yako hata moja umezingatia Hoja iliyopo isipokuwa Mkandara na Zittto mbona miye sisemei Freeland na Slaa au Mbowe!

Bila shaka nilichoandika ndicho nilichokisoma ni hoja yangu kwamba mngetumia akili japo kidogo msingeendeleza hizi siasa za Utengano ambazo sisi wengine zimetutoa Chadema na UKAWA sitoiunga mkono hata kwa nini na nipo hapa kuipiga vita. Naamini na nitaendelea kuamini Chadema niloijua mimi baada ya 2010 ingeweza kabisa kuchukua majimbo mengi kuliko UKAWA na ingeweza kuwa chama pinzani kuua vyama vyote vingnevyo kama chama kingekubali mabadiliko ( Changes) kutenganisha Uongozi wa chama na Serikali na kutumikia sheria na kanuni walozweka ili kuonyesha mfano bora.

Udini umewaingia kiasi kwamba mmesahau kuwa Chadema haikuanza hivi mnakuwa kama CUF ya kabla ya uchaguzi wa 2010 mnajitangaza na Ukristu wenu sana halafu mkiambiwa mnakataa, sisi wengine sio mazuzu kiasi hicho. Siasa za separation athari zake ndio hizi na inawabidi muwe tayari kuzipokea..
 
Mbatia ni CCM damu damu mpaka Ubunge kazawadiwa na CCM. Hawezi kukubali ujuha wa Ukawa
 
Mkuu Al murad wewe umesema hapa kuwa "sitoiunga mkono hata kwa nini na nipo hapa kuipiga vita"

Na kwa minajili hiyo hiyo uliyotanzgaza vita wewe usitarajie kuwa wewe usipigwe vita......

Ukitangaza vita jua kwamba tupo wengine tumejiandaa vizuri sana kwa vita hiyo....

Na hili lina justify kuwa hoja zako zote humu ziko katika mrengo wa kupiga vita UKAWA na CHADEMA....kama hio kampeni yako unayoipenda sana ya Dini

Kwa minajili hiyo uache kujibaraguza kuwa "eti" wewe unalo jema lolote la kuishauri CHADEMA ama UKAWA.

Mkuu.....u will be classified according to how you behave,according to how you speak.......

cc Nguruvi3 Mchambuzi JokaKuu Ben Saanane Yericko Nyerere Pasco MwanaDiwani laki si pesa
 
Last edited by a moderator:
Maswala ya mimi kumpenda Zitto hadi nikalale naye unayaona mazuri sana na matamu, wengine wasiseme lolote juu yako wewe. Alaa unapofungua milango anaruhusu mambo haya na wala mimi siandiki kitu kama hujaelekea kuacha hoja unanifuata mimi. Hakuna hoja yako hata moja umezingatia Hoja iliyopo isipokuwa Mkandara na Zittto mbona miye sisemei Freeland na Slaa au Mbowe!

Bila shaka nilichoandika ndicho nilichokisoma ni hoja yangu kwamba mngetumia akili japo kidogo msingeendeleza hizi siasa za Utengano ambazo sisi wengine zimetutoa Chadema na UKAWA sitoiunga mkono hata kwa nini na nipo hapa kuipiga vita. Naamini na nitaendelea kuamini Chadema niloijua mimi baada ya 2010 ingeweza kabisa kuchukua majimbo mengi kuliko UKAWA na ingeweza kuwa chama pinzani kuua vyama vyote vingnevyo kama chama kingekubali mabadiliko ( Changes) kutenganisha Uongozi wa chama na Serikali na kutumikia sheria na kanuni walozweka ili kuonyesha mfano bora.

Udini umewaingia kiasi kwamba mmesahau kuwa Chadema haikuanza hivi mnakuwa kama CUF ya kabla ya uchaguzi wa 2010 mnajitangaza na Ukristu wenu sana halafu mkiambiwa mnakataa, sisi wengine sio mazuzu kiasi hicho. Siasa za separation athari zake ndio hizi na inawabidi muwe tayari kuzipokea..
mtu mzima ujinga umekujaa
 
Mwaka huu ccm watakuwa machizi wote wanaombea mabaya Ukawa yatawarudia wao wenyewe asante sana kwa taarifa Yeriko Nyerere mwaka huu lazima raisi atatoka ndani ya Ukawa.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mahala nimesema hayo uloandika? vipi mkuu mbona mzushi kiasi hiki. Nilichosema hiyo slogan ya UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA ndio hasa lengo la UKAWA na nimeshukuru na kuelezea maana yake. sasa tena mnataka kuikataa wakati nazijua zsiasa zenu zimekaa kujenga uadui na makundi - huku wanasema SEPARATION rather tha INTEGRATION..na hizi ni hatari sana katika kujenga UMOJA wa aina yoyote. Chadema niloijua mimi haikuwa na mtazamo huu hata kidogo, na pengine mimi ndio sikutazama kwa undani zaidi..

Ya Udini umeyaanzisha wewe nami nimekujibu kwamba nilichoandika mimi ni mfano tu kwa sababu nakujua wewe mdini haijalishi uko Institution gani..huwezi kumwita mtu Ayatola hukutanguliwa na sababu za kiimani..Kuna mahala mtu kamwita Mbowe jina lolote linalokwenda na imani yake tena kwa ubaya?

Unaendelea kujitoa ufahamu tu mkuu??

Kule nyuma mbona nimekufunza vema kabisa maalim?
 
CUF ni walibelari....siasa zao ni mrengo wa kati....CDM ni mrengo wa kati kulia (Mabepari wenye msimamo usio Mkali) ACT-wazalendo ni demokrasia wajamaa na siasa zao ni mrengo wa kati kushoto.....CCM wao ni wajamaa hasa wa mrengo wa kushoto kinadharia ( mioyoni mwao ni mabepari kabisa mrengo wa kulia kabisa). Itikadi ya NCCR na NLD sizifahamu. Nawauliza mashabiki wa vyama wanapenda vyama vyao kwa misingi ipi? Itikadi au watu?

Kinachowaunganisha wanaukawa wote kwa sasa ni slogan, sio itikadi mkuu.

Slogan yetu ni utaifa tu sio uzalendo wala ubwanyenye wa Lumumba
 
Back
Top Bottom