najua huwezi kuelewa maana Akili kubwa ikiongozwa na Akili ndogo Utaelewa vipi?
Sijawahi kuwa Chadema eeeh! sawa mkuu. Na ebu nambie ni lini mimi hapa nimepingana na Mbowe zaidi ya kusema kwamba anajazwa Ujinga na kundi la wachumia tumbo. Nimeandika mengi humu kuhusu Mbowe kiasi cha kusema wazi kwamba Mbowe ni kiongozi mzuri na hata kufikia kuwafananisha yeye na Zitto.Lini wewe uliwahi kuwa Chadema? nani hakujui ulivyokuwa unapinga uongozi wa Mbowe ukishirikiana na wasaliti wazi wazi, nakushauri kuliko kupoteza nguvu zako bure kuipiga vita UKAWA vita ambavyo utashindwa tena kama ulivyoshindwa vita vya uenyekiti wa Mbowe, bora hizo nguvu uzitumie kujenga chama chenu kipya cha wasaliti.
Kalyankota UKAWA ikishika dola nafasi ya Mwamunyange Davis inakusubiri.UKAWA ndo habari ya ukombozi toka kwa mkoloni mweusi. Magamba tupa kule.
Kazi kwelikweli, kwahio unadhani tunaweza tegemea mgombea urais atoke nje ya CDM? Haya bwana ila wazalendo hawafi moyo na kusambaza uzalendo
hoja mfu siku zote humwangusha mtu, na hoja makini humwinua juu!Maswala ya mimi kumpenda Zitto hadi nikalale naye unayaona mazuri sana na matamu, wengine wasiseme lolote juu yako wewe. Alaa unapofungua milango anaruhusu mambo haya na wala mimi siandiki kitu kama hujaelekea kuacha hoja unanifuata mimi. Hakuna hoja yako hata moja umezingatia Hoja iliyopo isipokuwa Mkandara na Zittto mbona miye sisemei Freeland na Slaa au Mbowe!
Bila shaka nilichoandika ndicho nilichokisoma ni hoja yangu kwamba mngetumia akili japo kidogo msingeendeleza hizi siasa za Utengano ambazo sisi wengine zimetutoa Chadema na UKAWA sitoiunga mkono hata kwa nini na nipo hapa kuipiga vita. Naamini na nitaendelea kuamini Chadema niloijua mimi baada ya 2010 ingeweza kabisa kuchukua majimbo mengi kuliko UKAWA na ingeweza kuwa chama pinzani kuua vyama vyote vingnevyo kama chama kingekubali mabadiliko ( Changes) kutenganisha Uongozi wa chama na Serikali na kutumikia sheria na kanuni walozweka ili kuonyesha mfano bora.
Udini umewaingia kiasi kwamba mmesahau kuwa Chadema haikuanza hivi mnakuwa kama CUF ya kabla ya uchaguzi wa 2010 mnajitangaza na Ukristu wenu sana halafu mkiambiwa mnakataa, sisi wengine sio mazuzu kiasi hicho. Siasa za separation athari zake ndio hizi na inawabidi muwe tayari kuzipokea..
Umenena ukweli mtupu mwanakwetu! chukua "like 5".Unapo ingia kuswali naamini huwa unaacha malapa na ubongo mlangoni mwa hekalu, maamuma unaingia na kushindiliwa mawaidha kwenye empty head, baada ya kumaliza ibada inakubidi urudie malapa yako na ubongo wako ili ukusaidie kudadavua mawaidha kwa weledi. Lakini kwa maandiko yako, unamatatizo..., hayaendani na elimu yako, nakukumbusha rudi pale mlangoni hekaluni, kachukue ubongo wako, nahisi ulikumbuka kuondoka na malapa pekee.Haiwezekani msomi mzima kuendekeza udini namna hii.
Acheni uongo utawezaje kuwa na Undugu Na Mkenya kwa kutumia EAC. Huu ni umoja wa maridhiano katika maswala kadhaa na zinaweza kupigwa hata kesho tukafukuzana kama wanyama. Muungano ni kuunganisha WATU kuwa kitu kimoja sio vitu. Community ni jamii inaweza kuwa hata dunia nzima lakini hakuna Undugu hapo ni UTU wetu iwe mzungu, Mchina na kadhalika ni kutambua Ubinadamu ktk makundi yake hakuna udugu hapo.Eheeeee nacheka nakufurahi kwa wakati mmoja kicheko cha machozi........Mkandara unachomwambia huyu na wana Ukawa kwa lugha nyepesi wasio jitambua labda wewe unamaanisha ama unawaambia matamko aka kauri mbiu au iweje vile wanavyosema au watakavyo sema maneno msukumo hayo au maneno hamasishi unaposema Uzanzibar /Utanganyika na Utanzania ni sawa na kusema Ukenya/Uburundi/Unyarwanda /Uganda na Ukamalizia Ueastafrica.
Yani ndio kusema hapo hapo unaamasisha kuwa unataka kuwa na UMOJA na UNDUNGU kama UKOO au FAMILIA lakini unatamka kutokutambua kwa kuhamasisha WATU WATAMBUANE kwa kuhamasisha ukaribu wao uwe ni kwa kusema huyu wa UJOMBANI, huyu wa UKWENI,Huyu wa UMAMANI, huyu wa UBABANI....kwanini usiseme huyu wa UKOO wangu ni binamu yangu, ni mkwe wangu, dada yangu, ni shangazi yangu, ni mjomba wangu nk.
Unapotaja UZANZIBAR/UTANGANYIKA NA UTANZANIA unahamasisha UTAIFA [Kitu ambacho ni Sumu] katika madaraja wakati MFUMO WA SERIKALI TATU haumaanishi kutambua WATU KWA UTAIFA WAO bali unatambua TAASISI TATU Ndani ya Ushirika mmoja.
Ndio maana akasema wakati wanapanga hiyo kauli mbiu [Slogan] walikuwa wanawaza nini?Hivi kweli ni kweli au ni Blabla za Mlopokaji.....na kama nik kweli basi msemaji mkuu wa CDM/UKAWA humu JF asije na neno hilo la UZANZIBAR/UTANGANYIKA NA UTANZANIA....ndio kusema wanahamasisha sumu na sio Serikali tatu.
Mimi ni muumini wa Serikali tatu baada ya kujilizisha, mwanzoni nilikuwa muumini wa Serikali moja...lakini kwa maelezo ya Warioba na Tume yake na hali halisia nilijilizisha na kusimama kwenye tatu.Lakini kwa Matamshi hayo ya Ukawa kwangu yana maana nyingine kabisa katika kuhamasisha umma kwenye ujenzi wa Taifa la Tanzania.
Kifupi Mkandara anasema mnahamasisha UZANZIBAR -TAIFA /UTANGINYIKA -TAIFA. Lakini TANZANIA TAIFA aliwezi kuwepo bila ya hizo mbili tajwa.Mtu wa kawaida anataka vitendea kazi kama mifumo -yani Serikali Zanzibar na Serikali Tanganyika bila kujitanabaisha mie Mzanzibar, au Mie Mtanganyika.
Wewe nambie Muungano wowote usokuwa na Kero hapa duniani, nipe hata mmoja tu. Hizo ndoa zetu wenyewe zina kero, familia zina kero ndio uvunje udugu kwa sababu ya kero au unaitafutia suluhu. Akili ndogo jamani sheeedah! hakuna muungano wa aina yoyote hapa duniani usokuwa na changamoto zake - HAKUNA.. na huwezi vunja muungano kwa sababu ya kero..hoja mfu siku zote humwangusha mtu, na hoja makini humwinua juu!
-mkandara kama una vihoja mfu kama hivi unadhani waweza mshawishi nani akubaliane na wewe?
-Ikiwa chamani A.C.T ZITTO ndiye alfa na omega huoni huo ni mwanzo mbaya wa kesho muitakayo? .
muungano ni ulazima wa wana bara na wana zanzibar kwa kuukubali ama kuukataa.
-swali dogo
>>ikiwa katiba pendekezwa hii ni maoni yetu kwanini serikali itushawishi kwa kampeni zitakazogharimu fedha nyingi?.
>>ikiwa muungano unapendwa na kukubalika na wa TANGANYIKA NA WA ZANZIBARI kwanini mwanasheria mkuu alipinga baadhi ya vipengele vya muungano kwa katiba yao hii pendekezwa,na pia ni kipi ambacho unataka kutushawishi wa bara na visiwani ikiwa MUUNGANO HUU MFU UMEKUWA NA KERO LUKUKI NA ZISIZO TATULIKA MIONGO NA MIONGO?
*mkandara acha usanii kama wasanii kijana!
mtanzania haliwezi acha vituko na kuonyesha sinema hii mana mharii kanunuliwa kwa bei chee kaacha kuwa mzalendo kwa taifa lakemtanzania litangazwe rasmi kuwa adui namba moja wa chadema na ukawa, wanatunga mno!
UKAWA ni kikundi kilichoundwa kimagumashi!
Hakina protokali, kila mmoja ni msemaji wake!
Acheni uongo utawezaje kuwa na Undugu Na Mkenya kwa kutumia EAC. Huu ni umoja wa maridhiano katika maswala kadhaa na zinaweza kupigwa hata kesho tukafukuzana kama wanyama. Muungano ni kuunganisha WATU kuwa kitu kimoja sio vitu. Community ni jamii inaweza kuwa hata dunia nzima lakini hakuna Undugu hapo ni UTU wetu iwe mzungu, Mchina na kadhalika ni kutambua Ubinadamu ktk makundi yake hakuna udugu hapo.
..
Huyu mleta mada anajiabisha kwa kutumia jina la Nyerere--Nyerere mwenyewe mwenye jina lake hakuwa kama huyu hamnazo!
Kwahiyo Yeriko ndio msemaji wa UKAWA? Kamanda jifunze siasa! acha dharau!wewe huwa nakuambia siku zote akili yako ni sawa na mabata yale yanachezea matope,au wale wanaume wanao jiuza! haiwezekani mwanaume mzima uposti kitoto hivyo,ukawa upo imara wala hautetereki.
Ukisha yataja makabila tayari umesha watenganisha hakuna udugu pale ni ujirani mwema hata Marekani na Canada wao ujirani mwema hawana udugu. Ukiweza kutenganisha haya itakusaidia katika maamuzi yako ama kujenga hoja..Niliko bold wewe naye hapo umechemka nenda Tarime kamwambia maneno yako hayo Mkurya na Mluo uone atakachokufanya kama sio Panga ya Shingo kusambaratisha ubongo wako kisha utume dola ya Tanzana imtafute kama itampata nitajua wewe ni Mwanaume wa Shoka [Wao wanasema wewe ni Mumura]
Nenda Moshi mpakani mwa Tanzania na Kenya -Taita Taveta Ukaseme maneno yako hayo uone kile wachaga watakufanya hakuna rangi utaacha ona chariii.
Nenda Manyovu -Gasulu kisha waambie Waha na Warundi habari yako hiyo wakati Mwenyekiti wa Chama fododo Burundi mama yake Muha wa Kigoma sema maneno yako hayo kwa Waha na Wamanyema uone watakavyo kukokomora-Kama ujui kukomora nenda Mpakani Mwa Unganda na Mtukura kakutane na Warembo wa Kihaya wenye miguu chupa ya bia, tangaza ndoa kisha sikia atachokwambia kuwa mjiandae kuvuka mpaka mwende kwa Mjomba wake yuko Kampara ni Askari Jeshi mwende akawape Baraka zake kuwa unamuwowa binti yake.
Kwa hilo Keep Quite ujui unaloongea ....nawe kajifunze MASHIRIKIANO YANAANZAJE..hata Zanzibar biashara za Utumwa na biashara za Pembe kutoka Congo, Kigoma na Tabora mika ile zilipelekea Waha , Wanyamwezi kuamia Zanzibar na makabila mengine kama Wanyasa, Wamakonde na Wangoni kuamia pia Zanzibar na leo kwa unasaba huo wa mashirikiano hata kabla ya ujio wa Wajerumani na Waingereza umekuwepo ambao ni sawa na Wakurya wa Tanzania na Watende wa Kenya, Wamanyema wa Kigoma na Wamanyema Burundi, Waangaza wa Tanzania na Wanayonkore wa Uganda, leo POVU mdomoni lakutoka kutetea MUUUNGANO WA WATU ujui ulianzaje Mkandara nawe kajifunze usipopome hapa.
Ndugu ukawa hakuwa Jana NCCR wametoa kauli ya kuomba kijiondoa kwenye ukawa, Cuf wakaleta vigezo kuwa chama kitakacho pata majimbo Mengi kisitoe mgombea urais wala waziri mkuu, kigezo hiki kinalenga kuizuia Chadema ambayo ndiyo iliyopata majimbo Mengi, je unafikiri Chadema watakubali? Ndugu hizi habari ni za kweli wala hazina shaka, utakuja niambia baadae, vile vile kuna maombi ya ACT ambapo Chadema hawakitaki chama hicho, huku cuf, NCCR na NLD wakiridhia ACT kujiunga UKAWA.
Ukawa ni chadema,unategemea mgombea atoke CUF?
Kazi kwelikweli, kwahio unadhani tunaweza tegemea mgombea urais atoke nje ya CDM? Haya bwana ila wazalendo hawafi moyo na kusambaza uzalendo