Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,015
Lumumba kunawaka moto..Yericko hata kwenye vikao vya Chadema haruhusiwi kuingia sababu kuu ni UMBEA,UNAFIKI, UONGO NA UZANDIKI
Lumumba kunawaka moto..Yericko hata kwenye vikao vya Chadema haruhusiwi kuingia sababu kuu ni UMBEA,UNAFIKI, UONGO NA UZANDIKI
Think Tank la lumumba naona umeingia kwa fujo.
CC: Mhariri gazeti la Mtanzania
Don't ever forget about this slogan
najua huwezi kuelewa maana Akili kubwa ikiongozwa na Akili ndogo Utaelewa vipi?Mfano wako ni mfu,
Kazi kwelikweli, kwahio unadhani tunaweza tegemea mgombea urais atoke nje ya CDM? Haya bwana ila wazalendo hawafi moyo na kusambaza uzalendo
Wakuu wanamageuzi,
Poleni kwa propaganda za ccm kupitia magazeti yao ya Mtanzania nk.
Napenda kuwajuza kuwa kikao cha wakuu wa UKAWA bado kinaendelea vema kabisa, na mambo makubwa yote yameshapatiwa ufumbuzi ikiwemo taratibu za kumpata mgombea wa Urais na changamoto za vifungu vya katiba juu ya wagombea hao.
Pia utaratibu wa majimbo,vyote vimekamilika.
Hakuna chama kilichowasilisha barua yakujitoa wala aina yoyote ya kutokuelewana kunakoweza kupelekea kuvunjika kwa UKAWA kama ambavyo maadui zetu wanavyoeneza propaganda hizo,
Pia niwajuzi tu kuwa UKAWA hawajapokea ombi la mtu ama kikundi chochote kinachotaka kujiunga nao, na kwamba malengo na dhana nzima ya uwepo UKAWA yapo wazi kwa kila Mtanzania kuwa ni UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI, na slogan ya ukawa ni "Utaifa wa Uzanzibar, Utanganyika na Utanzania"
Hivyo kikundi chochote kinachotaka kujiunga na Ukawa ni lazima kikubali kujikana na kuyabeba malengo ya wanaukawa. Sio UKAWA ufuate matakwa ya kikundi hicho.
Vuteni subira wakuu wa ukawa watatoa tamko rasmi baada ya kumaliza kikao chao.
Wasalimie Lumumba, wambie niko ambae nikoYericko hata kwenye vikao vya Chadema haruhusiwi kuingia sababu kuu ni UMBEA,UNAFIKI, UONGO NA UZANDIKI
Kazi kwelikweli, kwahio unadhani tunaweza tegemea mgombea urais atoke nje ya CDM? Haya bwana ila wazalendo hawafi moyo na kusambaza uzalendo
uzalendo wenyewe ni pamoja na kumuomba FISADI Lowasa ajiunge na chama chenu.
Nashukuru sana kwa kutupa taarifa hii na nafurahi sana kwa Ufafanuo wako wa Slogan ya UKAWA kuwa ni UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA, Kesho itakuwa Uislaam, Ukristu na Utanzania kwani kila utengano huanza na cheche...
Wakuu wanamageuzi,
Poleni kwa propaganda za ccm kupitia magazeti yao ya Mtanzania nk.
Napenda kuwajuza kuwa kikao cha wakuu wa UKAWA bado kinaendelea vema kabisa, na mambo makubwa yote yameshapatiwa ufumbuzi ikiwemo taratibu za kumpata mgombea wa Urais na changamoto za vifungu vya katiba juu ya wagombea hao.
Pia utaratibu wa majimbo,vyote vimekamilika.
Hakuna chama kilichowasilisha barua yakujitoa wala aina yoyote ya kutokuelewana kunakoweza kupelekea kuvunjika kwa UKAWA kama ambavyo maadui zetu wanavyoeneza propaganda hizo,
Pia niwajuzi tu kuwa UKAWA hawajapokea ombi la mtu ama kikundi chochote kinachotaka kujiunga nao, na kwamba malengo na dhana nzima ya uwepo UKAWA yapo wazi kwa kila Mtanzania kuwa ni UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI, na slogan ya ukawa ni "Utaifa wa Uzanzibar, Utanganyika na Utanzania"
Hivyo kikundi chochote kinachotaka kujiunga na Ukawa ni lazima kikubali kujikana na kuyabeba malengo ya wanaukawa. Sio UKAWA ufuate matakwa ya kikundi hicho.
Vuteni subira wakuu wa ukawa watatoa tamko rasmi baada ya kumaliza kikao chao.
Wengi wanaamini Lipumba ana uwezo,lakini chadema hawezzi ruhusu hiyo.
Ukawa ni chadema,unategemea mgombea atoke CUF?
"Politicians will come to you and pretend they know what they are talking about"-Barack Obama
Pigania maisha yako ujikomboe na inawezekana achana na wanasiasa.
Kwa sababu nawajua nyie mna Udini na ndio maana najua mtakako elekea kesho kwani kuna kilichojificha hapa. Tumewasoma katika Mahakama ya kadhi, serikali 3 toka lile kundi zima la G55 mnafahamika hamkuyaanza leo.Mkuu Mkandara
Udini utakuua Mkuu wangu.
Wewe kila kitu utataka kuki convert katika Mrengo wa udini.
Hata sijui huko Ughaibuni,France unaishi vp kwa Upofu kama uliokuwa nao
kwa mwandishi wa mtanzania anaonekana kukosa maadili ya uandishi,anaandika habari zisizo na utafiti hii ni aina hatari sana ya waandishi kama hawa katika jamii ,jamii haijifunzi lolote kwake anatakiwa atulie ajifunze zaidi mbinu za uandishi wenye ueledi sio kwa manufaa yake tu hata kwa taifa kwa jumlaSiku za mwanzo nilidhani una undugu na Mwalimu Nyerere (hivyo utasema ukweli daima bila woga), Lakini sasa hivi nikfungua post yako huwa ni kama napitia katuni za sani
Mkandara utengano umekuwapo siku zote na umeendelea kuwa mkubwa baada ya Mwalimu kufariki. Mapendekezo ya iliyokuwa tume ya kabadiliko ya katiba yalikuwa kurasimisha utangano huo. Muungano wa kweli utapatikana ktk serikali tatu na si vinyinevyo kwa mujibu wa maoni ya wananchi.Nashukuru sana kwa kutupa taarifa hii na nafurahi sana kwa Ufafanuo wako wa Slogan ya UKAWA kuwa ni UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA, Kesho itakuwa Uislaam, Ukristu na Utanzania kwani kila utengano huanza na cheche...