Kutoka Kikao cha UKAWA

Kutoka Kikao cha UKAWA

Mkandara utengano umekuwapo siku zote na umeendelea kuwa mkubwa baada ya Mwalimu kufariki. Mapendekezo ya iliyokuwa tume ya kabadiliko ya katiba yalikuwa kurasimisha utangano huo. Muungano wa kweli utapatikana ktk serikali tatu na si vinyinevyo kwa mujibu wa maoni ya wananchi.

Ukawa utasimamia serikali tatu na yeyote atakayetaka kujiunga awe tayari kukubaliana na hilo.
Hivi umejisoma vizuri mkuu wangu. Kama tume imerasimisha utengano ulokuwepo utasemaje tume hiyo imeunda serikali 3 za Muungano wa kweli na sio Utengano wa kweli? Mimi nawashangaa sana mnapotumia ati S3 ni kuudumisha muungano ilihali mnajua mnachokifanya ni kutenganisha kile mnachoamini kimesha kuwa na Utengano basi bora Tutengane. Na ndivyo navyowasoma miye siku zote..

Kwa nini UKAWA msiwe wakweli muwaambie wananchi tunagenganisha - Zanzibar Kivyao na Tanganyika Kivyao halafu tuone kama wananchi watakuwa nanyi katika mbiu hiyo badala ya kutumia lugha za ulaghai..Semeni wazi tunataka UTENGANO maana upo siku zote tunarasimisha hakuna sababu ya kukataa kilichokuwepo.
 
........ Yaani hata kama ulikuwa unafanya na mkeo, lakini ukisikia neno UKAWA! UKAWA! hata nguvu zinakuisha, yaani wananikera hawa UKAWA! Ila mimi niliwaambia jaamani tusichakachue maoni ya wananchi lakini wao hawakusikia, unaona sasa tumezalisha hili UKAWA! UKAWA! Tulitegemea tangu mwaka jana tungekuwa tumewamaliza lakini yanazidi kuchanua tu! Aaaaaa! inakera sana, lakin wenzangu niliwashauri mimi, hawakusikia ona sasa hata usingizi hatupati.
 
Hivyo kikundi chochote kinachotaka kujiunga na Ukawa ni lazima kikubali kujikana na kuyabeba malengo ya wanaukawa. Sio UKAWA ufuate matakwa ya kikundi hicho.
.
haya ngoja tuone kama wale jamaa kama wanaelewa dhana nzima ya KUJIKANA!!
 
Pamoja mkuu, acha magamba na vibaraka wao waendelee kupanga mbinu chafu za kishetani.
 
Wakwetu umezipata wapi mpaka usisitize hivyo!

Ndugu ukawa hakuwa Jana NCCR wametoa kauli ya kuomba kijiondoa kwenye ukawa, Cuf wakaleta vigezo kuwa chama kitakacho pata majimbo Mengi kisitoe mgombea urais wala waziri mkuu, kigezo hiki kinalenga kuizuia Chadema ambayo ndiyo
 
Hivi umejisoma vizuri mkuu wangu. Kama tume imerasimisha utengano ulokuwepo utasemaje tume hiyo imeunda serikali 3 za Muungano wa kweli na sio Utengano wa kweli? Mimi nawashangaa sana mnapotumia ati S3 ni kuudumisha muungano ilihali mnajua mnachokifanya ni kutenganisha kile mnachoamini kimesha kuwa na Utengano basi bora Tutengane. Na ndivyo navyowasoma miye siku zote..

Kwa nini UKAWA msiwe wakweli muwaambie wananchi tunagenganisha - Zanzibar Kivyao na Tanganyika Kivyao halafu tuone kama wananchi watakuwa nanyi katika mbiu hiyo badala ya kutumia lugha za ulaghai..Semeni wazi tunataka UTENGANO maana upo siku zote tunarasimisha hakuna sababu ya kukataa kilichokuwepo.

Wananchi wa Kawaida hawajui faida za Muungano.Kwa kweli hata ukivunjika leo ni sawa tu.
 
Nani msemaji wa UKAWA? je ni wewe au Mnyika? Kamwe hamuwezi kuafikiana kwenye urais na baadhi ya majimbo likiwemo mtwara mjini! Hiki kikundi mwisho wake umetimia!
 
Wananchi wa Kawaida hawajui faida za Muungano.Kwa kweli hata ukivunjika leo ni sawa tu.
Okay tangazeni basi rasmi mnataka kuuvunja kwa nini mnajificha nyuma ya pazia na kudai mnataka kuudumisha! Ile Chadema nilikuwa nikii support haipo tena kwa nini mnataka wauzia Wadanganyika mbuzi kwenye gunia?
 
Mkandara unajua hata kama una mahaba kiasi gani...jaribu kuangalia mahaba hayo unayaweka wapi....kama unampenda sana zito kiasi cha hata kukuweka ndani ...tafaadhali usidhani wote tuko hivyo...wengine sisi ni wafuasi wa misingi ya kitaasisi....hapa mjadala haukuwa U ayatola wa Zito......mjadala hapa ni kanusho la kuwa UKAWA kadri ya mtazamo wa Yericko kwamba eti wameshindwa kukubaliana na kuna wengine wanataka kujitoa.

Umesema Lugha tunayotumia hapa.... kina nani? je hao watu ndio UKAWA wenyewe? UKAWA wana njia zao za kutoa matamko....sasa wewe unapoleta ubishiiiii tuuuu...for the sake of Kubisha....U show how best you belong to that class
 
Last edited by a moderator:
Ndugu ukawa hakuwa Jana NCCR wametoa kauli ya kuomba kijiondoa kwenye ukawa, Cuf wakaleta vigezo kuwa chama kitakacho pata majimbo Mengi kisitoe mgombea urais wala waziri mkuu, kigezo hiki kinalenga kuizuia Chadema ambayo ndiyo

Hiki kigezo kwa Zanzibar kitafanyaje Kazi!!!!!.Kwa hiyo Tanzania na Zanzibar Mgombea Urais atatoka NLD!!!!.UKAWA imewashika Pabaya.Hakuna rangi mtaacha kuona Mwaka huu.
 
Ile Chadema nilikuwa nikii support haipo tena kwa nini mnataka wauzia Wadanganyika mbuzi kwenye gunia?

Kwani wewe ni Mungu kwamba unachosupport wewe ndicho watanganyika wote wa support?
 
Wakwetu umezipata wapi mpaka usisitize hivyo!

Ndugu ukawa hakuwa Jana NCCR wametoa kauli ya kuomba kijiondoa kwenye ukawa, Cuf wakaleta vigezo kuwa chama kitakacho pata majimbo Mengi kisitoe mgombea urais wala waziri mkuu, kigezo hiki kinalenga kuizuia Chadema ambayo ndiyo iliyopata majimbo Mengi, je unafikiri Chadema watakubali? Ndugu hizi habari ni za kweli wala hazina shaka, utakuja niambia baadae, vile vile kuna maombi ya ACT ambapo Chadema hawakitaki chama hicho, huku cuf, NCCR na NLD wakiridhia ACT kujiunga UKAWA.
 
Okay tangazeni basi rasmi mnataka kuuvunja kwa nini mnajificha nyuma ya pazia na kudai mnataka kuudumisha! Ile Chadema nilikuwa nikii support haipo tena kwa nini mnataka wauzia Wadanganyika mbuzi kwenye gunia?

Tangaza wewe.Usiwawekee UKAWA maneno mdomoni.Mimi nilichokwambia ni kwamba Watanzania wengi hawaoni faida ya Muungano na hata ukivunjika leo watasherehekea.Zanzibar wanalia kudhalilishwa na Bara wakati Bara nako wanaona wananyonywa na mrundikano wa wazenzi Tanganyika.
 
Mkandara unajua hata kama una mahaba kiasi gani...jaribu kuangalia mahaba hayo unayaweka wapi....kama unampenda sana zito kiasi cha hata kukuweka ndani ...tafaadhali usidhani wote tuko hivyo...wengine sisi ni wafuasi wa misingi ya kitaasisi....hapa mjadala haukuwa U ayatola wa Zito......mjadala hapa ni kanusho la kuwa UKAWA kadri ya mtazamo wa Yericko kwamba eti wameshindwa kukubaliana na kuna wengine wanataka kujitoa.

Umesema Lugha tunayotumia hapa.... kina nani? je hao watu ndio UKAWA wenyewe? UKAWA wana njia zao za kutoa matamko....sasa wewe unapoleta ubishiiiii tuuuu...for the sake of Kubisha....U show how best you belong to that class
Kuna mahala nimesema hayo uloandika? vipi mkuu mbona mzushi kiasi hiki. Nilichosema hiyo slogan ya UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA ndio hasa lengo la UKAWA na nimeshukuru na kuelezea maana yake. sasa tena mnataka kuikataa wakati nazijua zsiasa zenu zimekaa kujenga uadui na makundi - huku wanasema SEPARATION rather tha INTEGRATION..na hizi ni hatari sana katika kujenga UMOJA wa aina yoyote. Chadema niloijua mimi haikuwa na mtazamo huu hata kidogo, na pengine mimi ndio sikutazama kwa undani zaidi..

Ya Udini umeyaanzisha wewe nami nimekujibu kwamba nilichoandika mimi ni mfano tu kwa sababu nakujua wewe mdini haijalishi uko Institution gani..huwezi kumwita mtu Ayatola hukutanguliwa na sababu za kiimani..Kuna mahala mtu kamwita Mbowe jina lolote linalokwenda na imani yake tena kwa ubaya?
 
Ndugu ukawa hakuwa Jana NCCR wametoa kauli ya kuomba kijiondoa kwenye ukawa, Cuf wakaleta vigezo kuwa chama kitakacho pata majimbo Mengi kisitoe mgombea urais wala waziri mkuu, kigezo hiki kinalenga kuizuia Chadema ambayo ndiyo iliyopata majimbo Mengi, je unafikiri Chadema watakubali? Ndugu hizi habari ni za kweli wala hazina shaka, utakuja niambia baadae, vile vile kuna maombi ya ACT ambapo Chadema hawakitaki chama hicho, huku cuf, NCCR na NLD wakiridhia ACT kujiunga UKAWA.

Hili pendekezo ni la kijinga sana na haliwezi kutoka kwa watu Makini kama CUF labda ACT.Sababu ni Moja tu kwamba CUF nayo haitaruhusiwa kutoa Mgombea Urais wa Zanzibar.
 
Tangaza wewe.Usiwawekee UKAWA maneno mdomoni.Mimi nilichokwambia ni kwamba Watanzania wengi hawaoni faida ya Muungano na hata ukivunjika leo watasherehekea.Zanzibar wanalia kudhalilishwa na Bara wakati Bara nako wanaona wananyonywa na mrundikano wa wazenzi Tanganyika.
Kwa hiyo lengo la UKAWA kusema UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA wana maana gani maana nilichosema mnakikataa sasa wewe nambie mlikuwa na maana gani?
 
Back
Top Bottom