Kutoka Kikao cha UKAWA

Kutoka Kikao cha UKAWA

Wengi wanaamini Lipumba ana uwezo,lakini chadema hawezzi ruhusu hiyo.

mtasubiri sana tuparanganyike nyie Ma CCM .....Na bado ...mtashangaa tunachanja mbuga tu

"Mwombee adui yako ,aishi miaka mingi,ili utapofanikiwa,ajionee kwa macho"
 
UKAWA imefanya waweweseke kupita kiasi. Badala ya kujenga hoja na mikakati ya kuelekea uchaguzi ujao wako busy usiku na mchana kufanya mikakati ya kuisambaratisha CHADEMA na UKAWA. Hili linaonyesha jinsi walivyo mufilisi katika kujenga hoja zenye nguvu na mashiko.

Mtasubiri sana nyie mapakashume ya lumumba
 
Yericko Nyerere ni muongo, hata akisema saa hizi nje kuna mvua ingawa nnaisikia lakini mpaka nikatazame.

Anajidai kuandika kama vile yumo ndani ya hicho kikao. Na misukule inashangilia.

Tuambie wewe basi nini kinacho endelea , ilitukuone wewe mkweli?
 
Last edited by a moderator:
vip AYATWALAAH zana za kilimo anaetaka kuungana na ukawa? wakat anasema wao wana uelekeo ya ujamaa? why asiungane na ccm wote wna sera za kijamaa wakat UKAWA wote wana sera za kibepari?
 
UKAWA imefanya waweweseke kupita kiasi. Badala ya kujenga hoja na mikakati ya kuelekea uchaguzi ujao wako busy usiku na mchana kufanya mikakati ya kuisambaratisha CHADEMA na UKAWA. Hili linaonyesha jinsi walivyo mufilisi katika kujenga hoja zenye nguvu na mashiko.

Na bado, nakuhakikishia hawa ccm tutawapiga kabla ya ibada ya saa nne
 
Yericko Nyerere ni muongo, hata akisema saa hizi nje kuna mvua ingawa nnaisikia lakini mpaka nikatazame.

Anajidai kuandika kama vile yumo ndani ya hicho kikao. Na misukule inashangilia.

Sio muongo tu, ni tapeli pia, ametapeli laki mbili toka mwaka jana mpaka leo bado anadaiwa
 
Last edited by a moderator:
Yericko mtaani kwao Kigamboni Chadema wamempiga chini sababu ya uongo na unafiki, .
 
Tuambie wewe basi nini kinacho endelea , ilitukuone wewe mkweli?

Nimesoma nyuzi kuhusu hicho kikao kutoka kwa mwandishi wa habari humuhumu JF ni tofauti na alivyotaka kutudanganya huyu kiwanda.
 
Yericko hata kwenye vikao vya Chadema haruhusiwi kuingia sababu kuu ni UMBEA,UNAFIKI, UONGO NA UZANDIKI
 
Yericko Nyerere ni muongo, hata akisema saa hizi nje kuna mvua ingawa nnaisikia lakini mpaka nikatazame.

Anajidai kuandika kama vile yumo ndani ya hicho kikao. Na misukule inashangilia.

Ukiona misukule wanashangalia na ww unawaona, jua wazi kuwa ww ni mchawi:sly:
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ni huo alioweka Yeriko ,hapa wamekuja Lumumba Buku 7 kina Mkandara wameanza kupiga kampeni zao za udini....they are better in nothing than that
Mkuu sina sababu ya kupiga kampeni za Udini ni mfano niliutumia tu kukufahamisha wewe mwenye Udini pengine itakuingia vizuri maana ulikuwa na sababu zako za kumwita Zitto Ayatola.

Mimi nachofanya hapa ni kuwarebisha tu katika semi zenu wenyewe. Lugha mloitumia hapa sio nzuri ni ya Utengano na ndio sababu hasa yangu mimi kupingana na UKAWA muda wote. Unapohitaji serikali 3 ina maana unakata kuwepo na vyombo vitatu vya kusimamia shughuli za serikali yaani unayagawa mamlaka yenyewe kusimaiwa na vyombo vitatu badala ya viwili, na kuugawa UMOJA wa wananchi wake. Na kila napowasoma mnakuja na habari hizi za Uzanzibar na Utanganyika halafu mnakataa siio Utenganisho bali kudumisha UMOJA, hapa nawakatalia hamna nia njema nyie na Muungano wetu.

UKAWA mnaweza kudai KATIBA MPYA na mkatumia njia nyingi sana kuwavuta wananchi iwe KATIBA MPYA NI LAZIMA, hiyo hiyo KATIBA YA WANANCHI maana ndani ya katiba swala la Serikali 3 ni hoja moja tu wakati kuja hoja zaidi ya 200. Umuhimu wa serikali 3 upo kwenu, watu wengine wanapenda mageuzi mengne kabisa, hivyo mngetumia akili japo kidogo tu mngeweza washawishi wananchi wengi lakini hii ya UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA kusema kweli mnaonyesha rangi zenu wenyewe na msitake kulalamikia tunao wakosoa hata kidogo.
 
Back
Top Bottom