Hili nalo unataka tulijadili? Endeleeni kujenga ACT - chama cha mtu mmoja.
Kweli kabisa, hiki chama asipokuwepo huyo mtu basi hakuna mkutano. Wengine wote hawana ushawishi,wamebaki tu kumshabikia na kumtetea mitandaoni.
Hili nalo unataka tulijadili? Endeleeni kujenga ACT - chama cha mtu mmoja.
Mkuu kwani maoni ya wananchi waliyotoa kwenye tume ya Warioba kuhusiana na muundo wa serikali yakoje? Na mapendekezo ya tume yanasemaje kuhusu suala hili?Mkuu sina sababu ya kupiga kampeni za Udini ni mfano niliutumia tu kukufahamisha wewe mwenye Udini pengine itakuingia vizuri maana ulikuwa na sababu zako za kumwita Zitto Ayatola.
Mimi nachofanya hapa ni kuwarebisha tu katika semi zenu wenyewe. Lugha mloitumia hapa sio nzuri ni ya Utengano na ndio sababu hasa yangu mimi kupingana na UKAWA muda wote. Unapohitaji serikali 3 ina maana unakata kuwepo na vyombo vitatu vya kusimamia shughuli za serikali yaani unayagawa mamlaka yenyewe kusimaiwa na vyombo vitatu badala ya viwili, na kuugawa UMOJA wa wananchi wake. Na kila napowasoma mnakuja na habari hizi za Uzanzibar na Utanganyika halafu mnakataa siio Utenganisho bali kudumisha UMOJA, hapa nawakatalia hamna nia njema nyie na Muungano wetu.
UKAWA mnaweza kudai KATIBA MPYA na mkatumia njia nyingi sana kuwavuta wananchi iwe KATIBA MPYA NI LAZIMA, hiyo hiyo KATIBA YA WANANCHI maana ndani ya katiba swala la Serikali 3 ni hoja moja tu wakati kuja hoja zaidi ya 200. Umuhimu wa serikali 3 upo kwenu, watu wengine wanapenda mageuzi mengne kabisa, hivyo mngetumia akili japo kidogo tu mngeweza washawishi wananchi wengi lakini hii ya UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA kusema kweli mnaonyesha rangi zenu wenyewe na msitake kulalamikia tunao wakosoa hata kidogo.
Ishi wewe wa wapi weweeeee..........Nyerere mwenye alishasema ishatokea hana jinsi ya to turn back years!!ajui hata jina la Tanganyika lilitokea wapi amejaribu kutafuta mpaka leo amekufa anatwambia kwenye hotuba zake ajajua.Sasa kama Wazungu wamekaa zao Ulaya wakachukua kipande cha karatasi wakachora chora mipaka wakasema hapa mpaka hapa atatawala Mwingereza, hapa Mjerumani, na pale mfaransa na mwisho hii ndio mipaka ya mataifa haya kwisnye.Ukisha yataja makabila tayari umesha watenganisha hakuna udugu pale ni ujirani mwema hata Marekani na Canada wao ujirani mwema hawana udugu. Ukiweza kutenganisha haya itakusaidia katika maamuzi yako ama kujenga hoja..
Kazi kwelikweli, kwahio unadhani tunaweza tegemea mgombea urais atoke nje ya CDM? Haya bwana ila wazalendo hawafi moyo na kusambaza uzalendo
Sawa tu kwan CDM si ipo kwenye UKAWA.
Sasa mjinga hapa nani wewe uliejibu usichokielewa au yule alieulza apate kuelewa?Huku kwetu ENGUTOTO hawajui UKAWA ndio nini, kuna mwananchi kaniuliza ikabidi nimjibu kuwa ni umoja wa wasaka madaraka kwa kutumia ulaghai!
Pole sana hata Zitto aliwahi kuwa Chadema kama unavyodai wewe lakini kumbe alikuwa sumu chui aliyejivika ngozi ya kondoo.Sijawahi kuwa Chadema eeeh! sawa mkuu. Na ebu nambie ni lini mimi hapa nimepingana na Mbowe zaidi ya kusema kwamba anajazwa Ujinga na kundi la wachumia tumbo. Nimeandika mengi humu kuhusu Mbowe kiasi cha kusema wazi kwamba Mbowe ni kiongozi mzuri na hata kufikia kuwafananisha yeye na Zitto.
Niliwahi sema humu Mbowe ni mwanasiasa lakini Zitto bado hajakomaa kisiasa ila anaweza kuwa kiongozi mzuri wa serikali hata Urais. na nikasema Mbowe hawezi kuwa rais kutokana na yeye mwenyewe kutokubalika kama Zitto ambavyo asingeweza kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa sababu hakubaliki. Muulize Sikonge nani alokuwa na hoja ya kwanza kabisa humu JF kuwa Slaa agombee Urais? hadi akaiweka mada nzima juu ya kumpigia kura za ndiyo. Muuulize hata huyo Mbowe mwenyewe akwambie msimamo wangu anajua sifuati mtu wala sibabaiki...
Nachokichukia ni Chadema kutoka katika misingi iloanzishwa na kukuzwa katika malezi ya Mbowe mwenyewe akisaidiwa na Slaa na Zitto lakini toka hawa wanafiki wakubwa kuingia mule wamejiona wao ndio wajuaji kupitiliza na bila shaka wametumwa. Sii wanasiasa sii lolote ni wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu tu na wengine sasa michavu inawatoka ndio wanajiona wao ni wao. Pambaf kabisa watu hawa ni majangili ambao sitowasamehe hata kwa nini...Na mtakuja ipata sii leo wala kesho lakini nalolisema mtakuja liona wenyewe mbeleni.
Kulivua gwanda limelivua maana siwezi ushirikina wenu kila usiku hamlali kazi kuwangia watu.. naipiga vita kweli kwa sababu inapotosha watu na sio Chadema tena bali UKAWA yenye lengo la kutugawa wananchi na siamini katika separation..Kwa hiyo nisome vizuri, na uwaambie wenzako wa UKAWA wanaotaka kugawana ili wavimbe zaidi matumbo yao yasotosheka..nawasikitikia Mbowe na Slaa tu pale maana sikutegemea wanaweza kuuvaa mkenge huu lakini pengine NDIVYO WALIVYO....Pole sana hata Zitto aliwahi kuwa Chadema kama unavyodai wewe lakini kumbe alikuwa sumu chui aliyejivika ngozi ya kondoo.
Baada ya kutimuliwa sasa wengine mmeamua kuvua ngozi mliyojivika na kuonyesha rangi zenu wazi, you know there is no way mtasamehewa ndiyo maana mnasema wazi kazi yenu ni kuipiga vita Ukawa na Chadema.
Kama kazi yenu ni kuipiga vita UKAWA well, Ukawa kazi yao kubwa ni kujenga utaifa uliotukuka sio utaifa wa kulazimishana.
Wazalendo huwa hawajitangaji bali matendo yao ndiyo huwafanya watu wawaite wazalendo. Mfano akina Nyerere, Sokoine, Karume n.k hawa hawakuwahi kupanda majukwaani na kujitangaza kuwa wao wazalendo,ila vitendo vyao ndivyo viliwafanya Watanzania wawaite wazalendo. Sasa nyie ACT uzalendo wenu wa kujitangaza huo kwanza jina la chama chenu tu lipo kwa lugha ambayo si kizalendo "Alliance for Change and Transparency", sasa hapo uzalendo upo wapi? bora hata CCM jina la kizalendo. Uzalendo huanza na lugha.
Unachosema nini, kama hawa watu wana nasaba moja inakuwaje leo wewe unawatenganisha ukidai Muungano hauna faida..Huku unaamini wazungu walitugawa wakatupa majina ya Tanganyika, Kenya Uganda halafu wewe unataka kuyarudisha ya watu kwa kuwaita UTanganyika na UZanzibar badala ya kuyaondoa, hii akili kweli.. Lugha gani unazungumza...Ishi wewe wa wapi weweeeee..........Nyerere mwenye alishasema ishatokea hana jinsi ya to turn back years!!ajui hata jina la Tanganyika lilitokea wapi amejaribu kutafuta mpaka leo amekufa anatwambia kwenye hotuba zake ajajua.Sasa kama Wazungu wamekaa zao Ulaya wakachukua kipande cha karatasi wakachora chora mipaka wakasema hapa mpaka hapa atatawala Mwingereza, hapa Mjerumani, na pale mfaransa na mwisho hii ndio mipaka ya mataifa haya kwisnye.
Tumepata Uhuru kama eneo lenye jina Tanganyika, Kenya vivyo hivyo, Uganda, Rwanda, Burundi lakini kiuhalisia hawa watu wana nasaba moja..aina tofauti na wewe unakiwanja chako unachomiliki lakini unamipaka ya himaya kuwa hapo ni kwako uzuiliwi kwenda kwa jilani yako au jamaa yako mwenye kwianja chake ambayo ni himaya yake na wewe huna mamlaka ya himaya hiyo unless uwekwe kisheria na taratibu husika zinazokubalika.
Kwa sura hiyo hata mahusiano ya sura ya umilki wa Kiwanja hayana tofauti na Mataifa yetu haya ya kiafrika.Kenya inapata matatizo na Wasomali wa Galisa sababu pia ni ngumu kwao kuweza kutofautisha kwa uhalisia haswa yupi ni raia wa Kenya na yupi ni raia wa Somalia.
Kwenye makabila huwa hakuna ujirani mwema bali kuna koo na kaya ...habari za ujirani mwema ni lugha ya Kidplomasia lakini ukweli Jaluo Wa Tanzania maeneo ya Buturi na Kowaki ana unasaba na jaluo wa Kogelo Kisumu Kenya.
Huku kwetu ENGUTOTO hawajui UKAWA ndio nini, kuna mwananchi kaniuliza ikabidi nimjibu kuwa ni umoja wa wasaka madaraka kwa kutumia ulaghai!
Kw hilo mie siko huko nimeshijieleza kwa ufasaha msimamo wangu ukoje rejea uko juu kwenye baadhi ya reply ya thread zako nimekwambia msimamo wangu...Unachosema nini, kama hawa watu wana nasaba moja inakuwaje leo wewe unawatenganisha ukidai Muungano hauna faida..Huku unaamini wazungu walitugawa wakatupa majina ya Tanganyika, Kenya Uganda halafu wewe unataka kuyarudisha ya watu kwa kuwaita UTanganyika na UZanzibar badala ya kuyaondoa, hii akili kweli.. Lugha gani unazungumza...
Kulivua gwanda limelivua maana siwezi ushirikina wenu kila usiku hamlali kazi kuwangia watu.. naipiga vita kweli kwa sababu inapotosha watu na sio Chadema tena bali UKAWA yenye lengo la kutugawa wananchi na siamini katika separation..Kwa hiyo nisome vizuri, na uwaambie wenzako wa UKAWA wanaotaka kugawana ili wavimbe zaidi matumbo yao yasotosheka..nawasikitikia Mbowe na Slaa tu pale maana sikutegemea wanaweza kuuvaa mkenge huu lakini pengine NDIVYO WALIVYO....
Kuyajua hayo yote ina maana hata wewe mchawi kwa hiyo sina sababu ya kukuamini wewe maana mganga hawi mganga pasipo kupitia Uchawi..Vizuri sana umejitambulisha. Tena basi bora yeye alokwenda kwa mchawi, wewe ndio mchawi unayewajua wachawi na uwezo wao.Unayemshabikia usiku na mchana kuliko hata wazazi wako unavyowapenda, Ni MCHAWI wa wachawi, Mganga wake wa kwanza yupo Bariadi Gamboshi, na mganga wa pili yupo Mwandiga Kigoma.
Huyo jamaa ukimtibua anaua mpaka panya na mijusi yote ndani ya nyumba yako.
Kuyajua hayo yote ina maana hata wewe mchawi kwa hiyo sina sababu ya kukuamini wewe maana mganga hawi mganga pasipo kupitia Uchawi..Vizuri sana umejitambulisha..
Usilie Mkuu mliowaita wasaka tonge wanajiuliza uthamani wao Wa ghafla kwenu umekujaje??
Tulifikiri nyie wenye maakili mengi mngeweza simama wenyewe sasa twashangaa mnavyolilia coalition na too locals......
Wakuu wanamageuzi,
Poleni kwa propaganda za ccm kupitia magazeti yao ya Mtanzania nk.
Napenda kuwajuza kuwa kikao cha wakuu wa UKAWA bado kinaendelea vema kabisa, na mambo makubwa yote yameshapatiwa ufumbuzi ikiwemo taratibu za kumpata mgombea wa Urais na changamoto za vifungu vya katiba juu ya wagombea hao.
Pia utaratibu wa majimbo,vyote vimekamilika.
Hakuna chama kilichowasilisha barua yakujitoa wala aina yoyote ya kutokuelewana kunakoweza kupelekea kuvunjika kwa UKAWA kama ambavyo maadui zetu wanavyoeneza propaganda hizo,
Pia niwajuzi tu kuwa UKAWA hawajapokea ombi la mtu ama kikundi chochote kinachotaka kujiunga nao, na kwamba malengo na dhana nzima ya uwepo UKAWA yapo wazi kwa kila Mtanzania kuwa ni UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI, na slogan ya ukawa ni "Utaifa wa Uzanzibar, Utanganyika na Utanzania"
Hivyo kikundi chochote kinachotaka kujiunga na Ukawa ni lazima kikubali kujikana na kuyabeba malengo ya wanaukawa. Sio UKAWA ufuate matakwa ya kikundi hicho.
Vuteni subira wakuu wa ukawa watatoa tamko rasmi baada ya kumaliza kikao chao.