Kutoka Kikao cha UKAWA

Kutoka Kikao cha UKAWA

Kulivua gwanda limelivua maana siwezi ushirikina wenu kila usiku hamlali kazi kuwangia watu.. naipiga vita kweli kwa sababu inapotosha watu na sio Chadema tena bali UKAWA yenye lengo la kutugawa wananchi na siamini katika separation..Kwa hiyo nisome vizuri, na uwaambie wenzako wa UKAWA wanaotaka kugawana ili wavimbe zaidi matumbo yao yasotosheka..nawasikitikia Mbowe na Slaa tu pale maana sikutegemea wanaweza kuuvaa mkenge huu lakini pengine NDIVYO WALIVYO....

I thought ACT wameomba kujiunga? unazungumziaje jilo? inamaana iliyemuamini zitto anakusaliti kwa kujiunga ukawa yenye malengo ya kuligawa taifa?
 
Sijawahi kuwa Chadema eeeh! sawa mkuu. Na ebu nambie ni lini mimi hapa nimepingana na Mbowe zaidi ya kusema kwamba anajazwa Ujinga na kundi la wachumia tumbo. Nimeandika mengi humu kuhusu Mbowe kiasi cha kusema wazi kwamba Mbowe ni kiongozi mzuri na hata kufikia kuwafananisha yeye na Zitto.

Niliwahi sema humu Mbowe ni mwanasiasa lakini Zitto bado hajakomaa kisiasa ila anaweza kuwa kiongozi mzuri wa serikali hata Urais. na nikasema Mbowe hawezi kuwa rais kutokana na yeye mwenyewe kutokubalika kama Zitto ambavyo asingeweza kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa sababu hakubaliki. Muulize Sikonge nani alokuwa na hoja ya kwanza kabisa humu JF kuwa Slaa agombee Urais? hadi akaiweka mada nzima juu ya kumpigia kura za ndiyo. Muuulize hata huyo Mbowe mwenyewe akwambie msimamo wangu anajua sifuati mtu wala sibabaiki...

Nachokichukia ni Chadema kutoka katika misingi iloanzishwa na kukuzwa katika malezi ya Mbowe mwenyewe akisaidiwa na Slaa na Zitto lakini toka hawa wanafiki wakubwa kuingia mule wamejiona wao ndio wajuaji kupitiliza na bila shaka wametumwa. Sii wanasiasa sii lolote ni wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu tu na wengine sasa michavu inawatoka ndio wanajiona wao ni wao. Pambaf kabisa watu hawa ni majangili ambao sitowasamehe hata kwa nini...Na mtakuja ipata sii leo wala kesho lakini nalolisema mtakuja liona wenyewe mbeleni.

Yasiyotokea hayo unayosema tutayaona huko mbeleni tukufanyeje?


Kama utakuwa marehemu tulifanyeje kaburi lako?
 
I thought ACT wameomba kujiunga? unazungumziaje jilo? inamaana iliyemuamini zitto anakusaliti kwa kujiunga ukawa yenye malengo ya kuligawa taifa?
Mkuu sifuati mtu hata siku moja Zitto akijiunga na UKAWA sintomshabikia yeye wala UKAWA kwa sababu hawana lengo jema kwa wananchi unless UKAWA wenyewe wakubali kuwa kitu KIMOJA na nia moja ya kuongoza Tanzania sio kutugawa.

Kama ni swala la serikali 3 lijadiliwe katika mabadiliko ya Artical of Union sio uandishi wa Katiba Mpya, na inatakiwa kutanguliwa na Referendum ili wananchi wachague wanataka kuendelea na Muungano huu ama upi? Majority wapewe walichokitaka! halafu ndio Katiba ziadnikwe. Naukubali mrengo wa ACT na ujenzi wa chama katika utenganisho baina ya viongozi wa chama na viongozi wa Serikali, ambao ndio ulitakiwa Chadema katika maandalizi ya kuchukua nchi.

Huwezi kuwa na viongozi wa chama wakigombea Ubunge kuongoza nchi..maana kulingana na katiba yetu ya mwaka 1977 bado wabunge ndio wanajenga mawaziri. viongozi hawa wataweza vipi kuongoza serikali na chama wakati mmoja kama sio UKOMUNIST..Kamati kuu haikutaka mabadiliko kama haya wakitaka kushika kila kitu kwa kupenda madaraka na UMIMI..

Kama Chadema ingeweza kufanya hivyo tusingemuona Zitto katika uongozi wa chama angeingia kwenye viongozi wa serikali na kama zipo siri zenu za chama zingebakia na viongozi wa Chama. Pengine hata Slaa na Mbowe japo ningependelea Mbowe abakie chamani. Kwa hili nakubaliana kabisa na mtazamo wa Kitila na Mwigamba. Mimi sijifichi kabisa msimamo wangu utausoma humu humu JF nifiche ili iweje?.

Haya ya UKAWA kusema kweli sina imani na CUF toka juhudi za Mbowe 2010 kutofanikiwa wakazusha Chadema inataka kubomoa CUF kama mnavyosema juu ya Zitto, na bado nakumbuka matusi ya CUF juu ya CDM na kina Mbatia vigeugeu wengine. Hivyo kwangu miye, bora ya zimwi likujualo kuliko... utajaza.
 
Mkandara utengano umekuwapo siku zote na umeendelea kuwa mkubwa baada ya Mwalimu kufariki. Mapendekezo ya iliyokuwa tume ya kabadiliko ya katiba yalikuwa kurasimisha utangano huo. Muungano wa kweli utapatikana ktk serikali tatu na si vinyinevyo kwa mujibu wa maoni ya wananchi.

Ukawa utasimamia serikali tatu na yeyote atakayetaka kujiunga awe tayari kukubaliana na hilo.

Mkuu, well said.

Tatizo la ndugu yetu Mkandara ni udini tu ndio unaomsumbua, kwa kweli najikuta nashindwa kuona tofauti kati yake na ajuza FaizaFoxy ukiacha JF Membership verification status
 
Last edited by a moderator:
Mkandara utengano umekuwapo siku zote na umeendelea kuwa mkubwa baada ya Mwalimu kufariki. Mapendekezo ya iliyokuwa tume ya kabadiliko ya katiba yalikuwa kurasimisha utangano huo. Muungano wa kweli utapatikana ktk serikali tatu na si vinyinevyo kwa mujibu wa maoni ya wananchi.

Ukawa utasimamia serikali tatu na yeyote atakayetaka kujiunga awe tayari kukubaliana na hilo.

Wakatii wake ndiyo ulishamiri, maofisini waziwazi ndugunaizeshen, uliyaona?

Nyerere kakosa kupinduliwa mara chungu nzima. Baada yake ulisikia nani kakosa kupinduliwa?
 
Independent-mind;
Mbona jina zuri saana hili halafu linakuwa ka limewekwa juu ya mti mchafu?? Kwenye kichwa chenyu mmejaa mawazo ya mgombea urais tuuu baasi.
Tunajua kuwa hata angetokea LND au NLD bado kubeza kwenyu kungekuwepo tu. Sawa jamani. Tunachokisema, si mabezo yenu yataacha kumchagua wa kupeperusha bendera ya UKAWA kama atatimiza masharti tuliyo kubaliana.
Mtanzania litangoja saana kitu cha kutusambaratisha nacho lakini halitakipata. Unaonaje, tukikubaliana kwamba, chama kitakachotoa mgombea urais kisiwe na majority ya wagombea ubunge, nyiye mkabaki kuangalia urais tukapeta kwa wabunge si hilo nalo ni bao??
Endeleeni na utoto wenyu, huku mwaliwaaaa:boxing::boxing:
Ulivovisema vyote haviwezekani
 
Wachina na demokrasia yao, walipingwa na kutengwa toka enzi na enzi. Hawakutetereka, wakakubali kutengwa wakajifungia ndani wakajenga nchi yao wakatoka.

Wakati wako ndani wanajengan nji yao, kwa mfumo wanaouamini, wapo walioukataa, na wanaukataa mpaka leo. Hilo hakijalishi maan ni kawaida.

Walipojenga nchi kiuchumi, waliowatenga, wakarudi na wanafanya biashara tena, kwa urafiki wa kinafiki lakini wenye kuheshimiana!!!

So sidhani ni tabu kwa UKAWA kuchukiwa au vice versa!! Kila mtu abaki kwenye imani yake, atakayetoka tutamheshimu. Na si lazima wote tuwe sehemu moja, tutofautiane na kupingana, ila ipo sikututakuwa na urafiki wa kinafiki + kuheshimiana.

Nawatakia wikiendi njema ndefu.
 
Unayemshabikia usiku na mchana kuliko hata wazazi wako unavyowapenda, Ni MCHAWI wa wachawi, Mganga wake wa kwanza yupo Bariadi Gamboshi, na mganga wa pili yupo Mwandiga Kigoma.

Huyo jamaa ukimtibua anaua mpaka panya na mijusi yote ndani ya nyumba yako.

- hahahahahahaha so unakubali kwamba huko Upinzani mmejaa wachawi maana wewe ulijuaje haya yote kama na wewe sio mchawi mnatisha sana duh!!

Le Mutuz
 
- hahahahahahaha so unakubali kwamba huko Upinzani mmejaa wachawi maana wewe ulijuaje haya yote kama na wewe sio mchawi mnatisha sana duh!!

Le Mutuz

hahahahahahahahahahaha
hahahahahahahaahahah
hahahaahahahahahahahahahaha
Ma men le mutuz meeeen....mzee wa mabebs wa ukweli men...mshikaji wake lulu nini....hahahaah....wewe ni super mkareeez
 
ACT na dume lao CCM wamebuma waliona watafute namna ya kuanza kupumbaza watu hapa ili tupate presha,Ukawa ndo sumu yenu mpaka panya wote mtahamia kwenye mashimo mlikotoka
 
Tena asiusogelee kabisa UKAWA wetu huyo msaliti na ACT aka CCM B yake. Akaungane na ccm
 
Aisee! Kumbe hadi Raia Mwema nao wamenunuliwa na CCM?

Ulimwengu kama humjui yule jamaa ni tapeli wa aina Fulani. Ni smart kweli hivyo ni ngumu kumgundua, ila kila uchaguzi ukikaribia tabia yake inajionyesha wazi. Check for 2010 na 2005 alikuwa namna gani na magazeti yake
 
- hahahahahahaha so unakubali kwamba huko Upinzani mmejaa wachawi maana wewe ulijuaje haya yote kama na wewe sio mchawi mnatisha sana duh!!

Le Mutuz

Uchawi ni hesabu za kiafrika kijana, muulize baba yako ama mwenyekiti wako atakufunda
 
Back
Top Bottom