Kutoka Kikao cha UKAWA

Kutoka Kikao cha UKAWA

Wakuu wanamageuzi,

Poleni kwa propaganda za ccm kupitia magazeti yao ya Mtanzania nk.

Napenda kuwajuza kuwa kikao cha wakuu wa UKAWA bado kinaendelea vema kabisa, na mambo makubwa yote yameshapatiwa ufumbuzi ikiwemo taratibu za kumpata mgombea wa Urais na changamoto za vifungu vya katiba juu ya wagombea hao.

Pia utaratibu wa majimbo,vyote vimekamilika.

Hakuna chama kilichowasilisha barua yakujitoa wala aina yoyote ya kutokuelewana kunakoweza kupelekea kuvunjika kwa UKAWA kama ambavyo maadui zetu wanavyoeneza propaganda hizo,

Pia niwajuzi tu kuwa UKAWA hawajapokea ombi la mtu ama kikundi chochote kinachotaka kujiunga nao, na kwamba malengo na dhana nzima ya uwepo UKAWA yapo wazi kwa kila Mtanzania kuwa ni UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI, na slogan ya ukawa ni "Utaifa wa Uzanzibar, Utanganyika na Utanzania"

Hivyo kikundi chochote kinachotaka kujiunga na Ukawa ni lazima kikubali kujikana na kuyabeba malengo ya wanaukawa. Sio UKAWA ufuate matakwa ya kikundi hicho.

Vuteni subira wakuu wa ukawa watatoa tamko rasmi baada ya kumaliza kikao chao.

Maneno ya ukweli hata yakiandikwa ukiachila kutamkwa yanajulikana tu! big up UKAWA!
 
Mkuu serikali sio Uzanzibar, Utanganyika wala Utanzania. Serikali ni chombo kinachoongoza nchi hata Halmshauri ni chombo sio cha UMwanza, Uilala, UShinganya na UKilimanjaro..Hivi huwa mnaamikia wapi kabla hamjatunga vitu hivi..

Utanganyika, Uzanzibar na Utanzania ni slogan.

Naamini leo upo na ufahamu imara kuliko kule ulikokuwa unalialia kama mavuvuzela ya Lumumba.

Bila shaka unatambua vema maana ya slogan ama kwakiswahili fasaha huitwa KAULIMBIU
 
Yericko acha uongo, yalioandikwa na mtanzania ni kweli wala hayana Shaka ya uongo, je barua ya ACT ya maombi imeisha jadiliwa? Unachoongea hapo ni kuwatia moyo wafuasi lakini ki ukweli Hali ni mbaya kuna hatari Leo wakagawana mbao. Cuf wameisha chukua msimamo ni lazima Prof lipumba awe mgombea wa Urais kwa sifa na uwezo alionao vinginevyo asiyetaka ajiondoe

Wakwetu umezipata wapi mpaka usisitize hivyo!
 
Yericko Nyerere ni muongo, hata akisema saa hizi nje kuna mvua ingawa nnaisikia lakini mpaka nikatazame.

Anajidai kuandika kama vile yumo ndani ya hicho kikao. Na misukule inashangilia.

Bibi....mimi ninachokiependa wewe ni unavyohorojoa tu...ukihorojoa tu mie hoiiiiii
 
Utanganyika, Uzanzibar na Utanzania ni slogan.

Naamini leo upo na ufahamu imara kuliko kule ulikokuwa unalialia kama mavuvuzela ya Lumumba.

Bila shaka unatambua vema maana ya slogan ama kwakiswahili fasaha huitwa KAULIMBIU

huyo hawezi kukuelewa kwa sasa...Anaumwa homa kali inaitwa Chademaphobia.....akili yake kwa sasa sawa na ya laki si pesa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hata kama naijua au siijui....

Sio main issue at hand

Pole kwa ugonjwa mkali unaokusumbua.....

Msalimie nduguyo laki si pesa
It is to me! unapotumia neno na hasa slogan ina maana kubwa zaidi ya kila kitu kama nembo maana ndicho unachopigania. Labda nikupe mfano utaoujua vizuri, KKK kama serikali ni chombo chenye mamlaka ya kuendesha shughuli za Kikritu hakina lengo wala nia ya kutangaza ama Kutenganisha UKRISTU, UISLAAM na UTANZANIA (kwa slogan).. sasa mnapokuja na slogan yenye matamshi kama haya inabidi watu tujiulize mlikuwa wazima kweli ama insane!
 
Jamani tuambieni ukweli wacheni kuweka ushabiki hum
 
Nashukuru sana kwa kutupa taarifa hii na nafurahi sana kwa Ufafanuo wako wa Slogan ya UKAWA kuwa ni UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA, Kesho itakuwa Uislaam, Ukristu na Utanzania kwani kila utengano huanza na cheche...

Mkandara, Umetumia kigezo gani kuandika hayo?
 
Last edited by a moderator:
It is to me! unapotumia neno na hasa slogan ina maana kubwa zaidi ya kila kitu kama nembo maana ndicho unachopigania. Labda nikupe mfano utaoujua vizuri, KKK kama serikali ni chombo chenye mamlaka ya kuendesha shughuli za Kikritu hakina lengo wala nia ya kutangaza ama Kutenganisha UKRISTU, UISLAAM na UTANZANIA (kwa slogan).. sasa mnapokuja na slogan yenye matamshi kama haya inabidi watu tujiulize mlikuwa wazima kweli ama insane!

Mfano wako ni mfu,
 
Ni kweli kabisa Chadema inaweza kutoa mgombea Urais kama mshirika wa UKAWA.
Pia pengine umeona ndani ya Chadeama kuna mtu mwenye uwezo ndio maana umefikia hitimisho hilo.
Wengi wanaamini Lipumba ana uwezo,lakini chadema hawezzi ruhusu hiyo.
 
Nashukuru sana kwa kutupa taarifa hii na nafurahi sana kwa Ufafanuo wako wa Slogan ya UKAWA kuwa ni UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA, Kesho itakuwa Uislaam, Ukristu na Utanzania kwani kila utengano huanza na cheche...

HYO YA kwako sasa ccm huwa udini ndio sera zenu tumegundua janja yenu hamtupatiiiii
 
It is to me! unapotumia neno na hasa slogan ina maana kubwa zaidi ya kila kitu kama nembo maana ndicho unachopigania. Labda nikupe mfano utaoujua vizuri, KKK kama serikali ni chombo chenye mamlaka ya kuendesha shughuli za Kikritu hakina lengo wala nia ya kutangaza ama Kutenganisha UKRISTU, UISLAAM na UTANZANIA (kwa slogan).. sasa mnapokuja na slogan yenye matamshi kama haya inabidi watu tujiulize mlikuwa wazima kweli ama insane!

unajua wewe na hua u chadema phobia wako usituambukize na sisi

Tu...una tumia neno "TU" Kumaaanisha wingi...kina nani hao? na wamekuja na slogan wapi? wametangaza wapi? katika kikao gani?
 
Back
Top Bottom