Kutoka Kikao cha UKAWA

Kutoka Kikao cha UKAWA

Yericko Nyerere ni muongo, hata akisema saa hizi nje kuna mvua ingawa nnaisikia lakini mpaka nikatazame.

Anajidai kuandika kama vile yumo ndani ya hicho kikao. Na misukule inashangilia.
 
Last edited by a moderator:
AMEEN................Tuwe na mahusiano yenye kichwa na miguu na zenj...serikali 3...
 
...

.....hicho kikundi kikajiuunge na vikundi vingine vya promosheni
 
Nashukuru sana kwa kutupa taarifa hii na nafurahi sana kwa Ufafanuo wako wa Slogan ya UKAWA kuwa ni UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA, Kesho itakuwa Uislaam, Ukristu na Utanzania kwani kila utengano huanza na cheche...

Mwenyewe sijapasoma hapo
 
Nashukuru sana kwa kutupa taarifa hii na nafurahi sana kwa Ufafanuo wako wa Slogan ya UKAWA kuwa ni UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA, Kesho itakuwa Uislaam, Ukristu na Utanzania kwani kila utengano huanza na cheche...

Ndio ukawa tunaunga mkono maoni ya umma kuwa na Shirikisho la serikali tatu, Tanganyika, Zanzibar na Muungano.
 
Yericko Nyerere ni muongo, hata akisema saa hizi nje kuna mvua ingawa nnaisikia lakini mpaka nikatazame.

Anajidai kuandika kama vile yumo ndani ya hicho kikao. Na misukule inashangilia.

Pole kwa maumivu bibi, lakini ndoa si yako ila wailalia mlango wazi kulikoni uumie?
 
Last edited by a moderator:
Yericko acha uongo, yalioandikwa na mtanzania ni kweli wala hayana Shaka ya uongo, je barua ya ACT ya maombi imeisha jadiliwa? Unachoongea hapo ni kuwatia moyo wafuasi lakini ki ukweli Hali ni mbaya kuna hatari Leo wakagawana mbao. Cuf wameisha chukua msimamo ni lazima Prof lipumba awe mgombea wa Urais kwa sifa na uwezo alionao vinginevyo asiyetaka ajiondoe
 
Ndio ukawa tunaunga mkono maoni ya umma kuwa na Shirikisho la serikali tatu, Tanganyika, Zanzibar na Muungano.
Mkuu serikali sio Uzanzibar, Utanganyika wala Utanzania. Serikali ni chombo kinachoongoza nchi hata Halmshauri ni chombo sio cha UMwanza, Uilala, UShinganya na UKilimanjaro..Hivi huwa mnaamikia wapi kabla hamjatunga vitu hivi..
 
Nimesoma Gazeti la leo la Raia Mwema na Mtanzania kwa kweli yamenunuliwa na ni maadui ya Chadema na Ukawa...ile sharia iliyopitishwa Burundi ya kuwalazimisha waandishi kutaja chanzo chake cha habari wakati mwingine ina faida sana...
 
Ukawa ni chadema,unategemea mgombea atoke CUF?

Ni kweli kabisa Chadema inaweza kutoa mgombea Urais kama mshirika wa UKAWA.
Pia pengine umeona ndani ya Chadeama kuna mtu mwenye uwezo ndio maana umefikia hitimisho hilo.
 
nmkuu serikali sio Uzanzibar, Utanganyika wala Utanzania. Serikali ni chombo kinachoongoza hata halamshauri ni chombo sio UMwanza, UShinganya na UKilimanjaro..Hivi huwa mnaamikia wapi kabla hamjatunga vitu hivi..

nani ametunga hapa...Kwani Yeriko kuandika ndio watu wamekaa kikao na kutunga

Pole na Ugonjwa wa Chademaphobia
 
Yericko acha uongo, yalioandikwa na mtanzania ni kweli wala hayana Shaka ya uongo, je barua ya ACT ya maombi imeisha jadiliwa? Unachoongea hapo ni kuwatia moyo wafuasi lakini ki ukweli Hali ni mbaya kuna hatari Leo wakagawana mbao. Cuf wameisha chukua msimamo ni lazima Prof lipumba awe mgombea wa Urais kwa sifa na uwezo alionao vinginevyo asiyetaka ajiondoe

Mtaota sana...Na bado...cha moto mtakiona...Tuko makini kuliko mnavyodhani

Hatuwezi kujadili vi toilet paper vya vyama vya balehe
 
Back
Top Bottom