kunze JF-Expert Member Nov 22, 2016 398 469 Nov 28, 2016 #2 Wanazungumzia nini,tafadhali vunja ukimya,kapicha ndugu
Kibwengo JF-Expert Member Jul 29, 2015 6,838 5,294 Nov 28, 2016 Thread starter #4 kibwenzi said: Marais Wa Zambia na Tanzania wazungumza ... Click to expand... Rais Wa tz amemaliza kuzungumza ..sasa ni maswali kwa wahandishi.
kibwenzi said: Marais Wa Zambia na Tanzania wazungumza ... Click to expand... Rais Wa tz amemaliza kuzungumza ..sasa ni maswali kwa wahandishi.
Kibwengo JF-Expert Member Jul 29, 2015 6,838 5,294 Nov 28, 2016 Thread starter #6 kunze said: Wanazungumzia nini,tafadhali vunja ukimya,kapicha ndugu Click to expand... Muhimu wanazungumzia mahusiano kati ya tz na Zambia
kunze said: Wanazungumzia nini,tafadhali vunja ukimya,kapicha ndugu Click to expand... Muhimu wanazungumzia mahusiano kati ya tz na Zambia
Ghazwat JF-Expert Member Oct 4, 2015 23,718 66,262 Nov 28, 2016 #7 Sasa maswali kuhusu Tazara yatakuwa yameeleweka
Kibwengo JF-Expert Member Jul 29, 2015 6,838 5,294 Nov 28, 2016 Thread starter #8 Sasa ni muda Wa kupga picha kwa marais na viongoz Wa serikali
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,971 35,113 Nov 28, 2016 #9 Joowzey said: hizi bangi hizi Click to expand... Nani katumia bangi wee Joowzey? hebu weka sawa
number41 JF-Expert Member Jul 11, 2015 2,048 1,462 Nov 28, 2016 #10 Huyo ameombwa kujenga nn kiwanda cha khanga au kanisa dodoma
englibertm JF-Expert Member May 1, 2009 9,252 6,207 Nov 28, 2016 #13 Nimemsikia Rasi simba akitafusili
swalehe shiza JF-Expert Member Jun 3, 2016 1,616 2,386 Nov 28, 2016 #14 Mambo ya aibu sana kwa mtu mzima kutojua kimombo
swalehe shiza JF-Expert Member Jun 3, 2016 1,616 2,386 Nov 28, 2016 #15 Eti Kisingizio cha Uzalendo wakati lugha haipandi
kayaman JF-Expert Member Aug 3, 2013 4,517 10,369 Nov 28, 2016 #16 Mtaalamu wa kiinglish nchini Ras simba nasikia kala mchongo pale magogoni
swalehe shiza JF-Expert Member Jun 3, 2016 1,616 2,386 Nov 28, 2016 #17 kayaman said: Mtaalamu wa kiinglish nchini Ras simba nasikia kala mchongo pale magogoni Click to expand...
kayaman said: Mtaalamu wa kiinglish nchini Ras simba nasikia kala mchongo pale magogoni Click to expand...
Nifah JF-Expert Member Feb 12, 2014 31,521 65,198 Nov 28, 2016 #18 kayaman said: Mtaalamu wa kiinglish nchini Ras simba nasikia kala mchongo pale magogoni Click to expand...
kayaman said: Mtaalamu wa kiinglish nchini Ras simba nasikia kala mchongo pale magogoni Click to expand...
Nifah JF-Expert Member Feb 12, 2014 31,521 65,198 Nov 28, 2016 #19 Hivi Zambia hawajui kiswahili? On behalf of myself
Iceman 3D JF-Expert Member Sep 3, 2016 20,614 67,078 Nov 28, 2016 #20 Halafu muheshimiwa Rais hata kiswahili kina mpa shida. Ana kaz kwel kweli huyu kwenye kuwasiliana na wenzake
Halafu muheshimiwa Rais hata kiswahili kina mpa shida. Ana kaz kwel kweli huyu kwenye kuwasiliana na wenzake